Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

Habari zenu ndugu,

Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa .

Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye
Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu
Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho
Awe anajitambua
Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea
Mwisho awe tayari kuolewa mwaka huu .
Kama ana mtoto asizidi mtoto mmoja, maana mtoto ni zawadi toka kwa Allah/ Mwenyezi Mungu.

Kwa aliye na sifa tajwa hapo juu na mwenye uhitaji wa mume kama mimi ninavyohitaji "mke" anitumie msg PM.

ASANTE SANA👏
Mi vigezo vyote ninavyo
 
Mkuu nadhani hii sio lugha nzuri, mimi naamini binadamu wote ni sawa .
Kuwa na dini tofauti haimanishi kuwa mmoja ni bora kuliko mwingine,

Sisi sote binadamu Mungu wetu ni mmoja tu ijapokuwa tunatumia dini tofauti katika kumuomba Mungu / Allah.

Kama nimekukwaza nakuomba unisamehe japo sio kusudio langu kukukwaza.

#Sote ni watoto wa Mungu mmoja katika Dunia moja.
Saafi mdau wale wafia dini ndo hawatakuelewa
 
Back
Top Bottom