Abdalah Hussein
Member
- Feb 19, 2022
- 11
- 8
Nitumie pm then tutawasilianaSasa bwana Abdallah tunakupata wapi sisi waislam.
Hujaweka no ya simu au email.
Asante sana, uzidi kuniombea ndugu yangu ili nipate "MKE" sahihi wa kinifaa maishani maana lengo hasa ni kujenga familia iliyo bora na sio bora familia.Mafanikio mema
Asante sana mdugu yangu, endelea kuniombea nipate "MKE" bora wa maisha yangu ili tufurahie hii duniaKila la kheri...
Ahsante kwa kunipa assist mkuu😀
Karibu tuyajenge uwe mama watoto wangu tuwe na familia bora na sio bora familia dada mzuriAhsante kwa kunipa assist mkuu😀
Huyo ni kafiriKaribu tuyajenge uwe mama watoto wangu tuwe na familia bora na sio bora familia dada mzuri
Mkuu nadhani hii sio lugha nzuri, mimi naamini binadamu wote ni sawa .Huyo ni kafiri
Dah😂😂 jina bayaa mimi ni mkristo siyo kafiri banaHuyo ni kafiri
Acha kulamba matapishi yako mwenyewe shehe ubwabwa!Mkuu nadhani hii sio lugha nzuri, mimi naamini binadamu wote ni sawa .
Kuwa na dini tofauti haimanishi kuwa mmoja ni bora kuliko mwingine,
Sisi sote binadamu Mungu wetu ni mmoja tu ijapokuwa tunatumia dini tofauti katika kumuomba Mungu / Allah.
Kama nimekukwaza nakuomba unisamehe japo sio kusudio langu kukukwaza.
#Sote ni watoto wa Mungu mmoja katika Dunia moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamn manen hayo kwa ustadh tena[emoji2][emoji2]Acha kulamba matapishi yako mwenyewe shehe ubwabwa!
Kwenye title ya uzi penyewe ume-specify kabisa mwanamke lazima awe Muislamu tu!
Sasa mimi kukujulisha kuwa huyo sio Muislamu nimekosea wapi?
Fala wewe!
Asante sana👏👏🏼Acha kulamba matapishi yako mwenyewe shehe ubwabwa!
Kwenye title ya uzi penyewe ume-specify kabisa mwanamke lazima awe Muislamu tu!
Sasa mimi kukujulisha kuwa huyo sio Muislamu nimekosea wapi?
Fala wewe!