makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Uwanjani tunaita nimekumegea bonge la pande... "NO LOOK PASS" hizo zimepigwa na wachezaji watatu tu, PELE, RONALDINHO na mimi hapa MAKAVELI10 fundi wa mpira [emoji3]Ahsante kwa kunipa assist mkuu[emoji3]
Thank youUwanjani tunaita nimekumegea bonge la pande... "NO LOOK PASS" hizo zimepigwa na wachezaji watatu tu, PELE, RONALDINHO na mimi hapa MAKAVELI10 fundi wa mpira [emoji3]
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Kwenda huko.Thank you
Mi vigezo vyote ninavyoHabari zenu ndugu,
Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa .
Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye
Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu
Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho
Awe anajitambua
Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea
Mwisho awe tayari kuolewa mwaka huu .
Kama ana mtoto asizidi mtoto mmoja, maana mtoto ni zawadi toka kwa Allah/ Mwenyezi Mungu.
Kwa aliye na sifa tajwa hapo juu na mwenye uhitaji wa mume kama mimi ninavyohitaji "mke" anitumie msg PM.
ASANTE SANA👏
Aisee bwana fundi unashona mpira usio na gozi ndaniUwanjani tunaita nimekumegea bonge la pande... "NO LOOK PASS" hizo zimepigwa na wachezaji watatu tu, PELE, RONALDINHO na mimi hapa MAKAVELI10 fundi wa mpira [emoji3]
Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
Saafi mdau wale wafia dini ndo hawatakuelewaMkuu nadhani hii sio lugha nzuri, mimi naamini binadamu wote ni sawa .
Kuwa na dini tofauti haimanishi kuwa mmoja ni bora kuliko mwingine,
Sisi sote binadamu Mungu wetu ni mmoja tu ijapokuwa tunatumia dini tofauti katika kumuomba Mungu / Allah.
Kama nimekukwaza nakuomba unisamehe japo sio kusudio langu kukukwaza.
#Sote ni watoto wa Mungu mmoja katika Dunia moja.