We jamaa mungu anakuona. Mtu anasema anatafuta MKE bado tena unamuuliza jinsiaJinsia plz.....
Ndo maana nawaoneaga huruma waalimu mashuleni aisee,kuna people hazipo serious kbsWe jamaa mungu anakuona. Mtu anasema anatafuta MKE bado tena unamuuliza jinsia
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Huu umri kuhandle majukumu ya ndoa na stress zake naona kweli kijana bado anahitaji kujitafuta kwanza akuekue asiwe na haraka aisee yaani huyu dogo kazaliwa mwaka 2000 anataka kuoa... Nway afanye chenye roho yake inataka tusimpangie maisha ila tumempa ushauri tu.Miaka 23, mbona bado young sana. Kula utawala kwanza
Mtu anatafuta mke bado unamuuliza jinsia[emoji23][emoji23]Jinsia plz.....
Miaka 23 akili yako bado sana kuingia kwenye ndoa bora utulietulie angalau umri usogee.Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox kufahamiana zaidi, usije Inbox kama haupo serious please.
Mtu anatafuta mke bado unamuuliza jinsia[emoji23][emoji23]
Never judge a book, by its cover.Miaka 23 akili yako bado sana kuingia kwenye ndoa bora utulietulie angalau umri usogee.
Anamiliki viwanda vi3 vya sabuni ya unga,tomato na mafuta ya kupikiaHebu Naomba file lake na Cv yake kwanza π