Natafuta mke (mchumba)

Natafuta mke (mchumba)

zaza777

Member
Joined
Feb 6, 2023
Posts
11
Reaction score
30
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.

Karibu inbox kufahamiana zaidi, usije Inbox kama haupo serious please.
 
Miaka 23, mbona bado young sana. Kula utawala kwanza
Huu umri kuhandle majukumu ya ndoa na stress zake naona kweli kijana bado anahitaji kujitafuta kwanza akuekue asiwe na haraka aisee yaani huyu dogo kazaliwa mwaka 2000 anataka kuoa... Nway afanye chenye roho yake inataka tusimpangie maisha ila tumempa ushauri tu.
 
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.

Karibu inbox kufahamiana zaidi, usije Inbox kama haupo serious please.
Miaka 23 akili yako bado sana kuingia kwenye ndoa bora utulietulie angalau umri usogee.
 
Back
Top Bottom