Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wallet yako ikoje kwanza?? je inashawishi??
ulipopata huyo mke mkubwa ulituambia?Kama heading inavojieleza! Nina 32,businessman naishi kawe dar
Ebu funguka aweje au mke as long as ni mwanamke? hujali tabia sura umbo dini wala kabila?
Teh teh...Haya bana watakuja wanaojihisi wanaweza ukewenza...Hana kasoro yoyote! Nataka mke mdogo TU. ELEWA HIVYO
Sawa sasa Uzuri mie naweza kumuona mzuri weye usimuone mzuri,yupo lakini ana watoto wa3 mdogo anamiaka 24 anafaa nadhani..au?Sichagui dini kabila wala rangi as long as asiwe kichechez na kuhusu sura na umbo obviously nataka awe "MZURI" nani anataka mwenye shape baya bhaanaaa
Ipo safi kabisa! Ingekua legelege nisingekua na mawazo hayo ya kutafta mke wa pili
ahaa! hivi wajua kwamba kutongoza tu mwnaamke yakubidi kulipia gharama za usumbufu?? sasa kwasabbau umetongoza wanawake wote wa jf na kuwasababishia usumbufu unatakiwa ulipie gharama zake kwa wote.
sasa kwa kukuhurumia na nikiwa kama mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa jf nakutaka ulipie membership status fee yako mara moja.
tena isiwe gold ama bronze bali kuanzia tanzanite sawa?? ili kuonyesha kweli wewe uwezo unao wa kumudu wake wawili.
cc Superman, Asprin Bishanga Invisible