Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
ahaa! hivi wajua kwamba kutongoza tu mwnaamke yakubidi kulipia gharama za usumbufu?? sasa kwasabbau umetongoza wanawake wote wa jf na kuwasababishia usumbufu unatakiwa ulipie gharama zake kwa wote.
sasa kwa kukuhurumia na nikiwa kama mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa jf nakutaka ulipie membership status fee yako mara moja.
tena isiwe gold ama bronze bali kuanzia tanzanite sawa?? ili kuonyesha kweli wewe uwezo unao wa kumudu wake wawili.
cc Superman, Asprin Bishanga Invisible
Mwanaizaya Asprin hebu tuwakilishe kulisemea hili . . .
Last edited by a moderator: