Natafuta mke mdogo

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
767
Kama heading inavojieleza! Nina 32,businessman naishi kawe dar
 
Utapata mkuu, huwa naona wadada wengi wanatafuta watu wa kuwaoa.
 
Mshirikishe mke mkubwa anaweza akawa na connection zaidi mkamaliza kazi mapema
 
Hujatoa sifa, unataka awe vipi?
 
Kwani mkeo wa kwanza ana kasoro gani? zitaje kwanza ili usijepata mwenye sifa sawa na alizonazo bimkubwa..
 
Ebu funguka aweje au mke as long as ni mwanamke? hujali tabia sura umbo dini wala kabila?
 
Kaenji chonjo wana JF; mapepo ya ngono yamevamia humu, maana ngono imekuwa kitu cha kushangiliwa sana siku hizi, na watu wanainadi bila aibu lollllllll
 
Ebu funguka aweje au mke as long as ni mwanamke? hujali tabia sura umbo dini wala kabila?

Sichagui dini kabila wala rangi as long as asiwe kichechez na kuhusu sura na umbo obviously nataka awe "MZURI" nani anataka mwenye shape baya bhaanaaa
 
wallet inasoma lakini?? naogopa akija Lara 1 uwe majibu ya kutosha.
 
Sichagui dini kabila wala rangi as long as asiwe kichechez na kuhusu sura na umbo obviously nataka awe "MZURI" nani anataka mwenye shape baya bhaanaaa
Sawa sasa Uzuri mie naweza kumuona mzuri weye usimuone mzuri,yupo lakini ana watoto wa3 mdogo anamiaka 24 anafaa nadhani..au?
 
Ipo safi kabisa! Ingekua legelege nisingekua na mawazo hayo ya kutafta mke wa pili

ahaa! hivi wajua kwamba kutongoza tu mwnaamke yakubidi kulipia gharama za usumbufu?? sasa kwasabbau umetongoza wanawake wote wa jf na kuwasababishia usumbufu unatakiwa ulipie gharama zake kwa wote.

sasa kwa kukuhurumia na nikiwa kama mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa jf nakutaka ulipie membership status fee yako mara moja.

tena isiwe gold ama bronze bali kuanzia tanzanite sawa?? ili kuonyesha kweli wewe uwezo unao wa kumudu wake wawili.

cc Superman, Asprin Bishanga Invisible
 
Last edited by a moderator:

Mimi ni gold member mbona. Hii id ni mpya kwaa ajili ya kutafta mke tu. naogopa kutumia id yangu ili washankupe wasipeleke habari kwa bi mkubwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…