ahaa! hivi wajua kwamba kutongoza tu mwnaamke yakubidi kulipia gharama za usumbufu?? sasa kwasabbau umetongoza wanawake wote wa jf na kuwasababishia usumbufu unatakiwa ulipie gharama zake kwa wote.
sasa kwa kukuhurumia na nikiwa kama mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa jf nakutaka ulipie membership status fee yako mara moja.
tena isiwe gold ama bronze bali kuanzia tanzanite sawa?? ili kuonyesha kweli wewe uwezo unao wa kumudu wake wawili.
cc Superman, Asprin Bishanga Invisible
Mimi ni gold member mbona. Hii id ni mpya kwaa ajili ya kutafta mke tu. naogopa kutumia id yangu ili washankupe wasipeleke habari kwa bi mkubwa
Shughuli unaiweza kisawa sawa wewe ..
Na pochi yako jeee??
Kuwa mke wa pili ni lazima vigezo na masharti kuzingatiwa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums