N Ngosha Mz Member Joined Feb 12, 2013 Posts 17 Reaction score 2 May 22, 2013 #1 natafuta mama watoto dini awe mkiristo ,umri 19_23,asiwe na mtoto yaani awe bado hajazaa,mlango uko wazi.
natafuta mama watoto dini awe mkiristo ,umri 19_23,asiwe na mtoto yaani awe bado hajazaa,mlango uko wazi.
Tamatheo JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,298 Reaction score 1,560 May 22, 2013 #2 Ngosha Mz said: natafuta mama watoto dini awe mkiristo ,umri 19_23,asiwe na mtoto yaani awe bado hajazaa,mlango uko wazi. Click to expand... Rafiki yangu Ngosha sasa hivi hawaitwi tena mama watoto, wanaitwa Mke. Badilisha mapema hawatakuja, wanahofia kufanywa mashine ya kufyatulia tofali. Fanya hima mkuu
Ngosha Mz said: natafuta mama watoto dini awe mkiristo ,umri 19_23,asiwe na mtoto yaani awe bado hajazaa,mlango uko wazi. Click to expand... Rafiki yangu Ngosha sasa hivi hawaitwi tena mama watoto, wanaitwa Mke. Badilisha mapema hawatakuja, wanahofia kufanywa mashine ya kufyatulia tofali. Fanya hima mkuu
Las Mas Bobos JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 991 Reaction score 326 May 22, 2013 #3 What are your term of payments and status. Binti yangu anaqualify vigezo