natafuta mke mkiristo umri 19_23

natafuta mke mkiristo umri 19_23

Ngosha Mz

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
17
Reaction score
2
natafuta mama watoto dini awe mkiristo ,umri 19_23,asiwe na mtoto yaani awe bado hajazaa,mlango uko wazi.
 
natafuta mama watoto dini awe mkiristo ,umri 19_23,asiwe na mtoto yaani awe bado hajazaa,mlango uko wazi.

Rafiki yangu Ngosha sasa hivi hawaitwi tena mama watoto, wanaitwa Mke. Badilisha mapema hawatakuja, wanahofia kufanywa mashine ya kufyatulia tofali. Fanya hima mkuu
 
What are your term of payments and status. Binti yangu anaqualify vigezo
 
Back
Top Bottom