Natafuta mke mkristo miaka 30-41

Natafuta mke mkristo miaka 30-41

Wasomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
418
Reaction score
568
Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni muajiliwa na ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Mengine tutayajenga inbox.
 
Unatafuta mke jamiiforum!?? Aisee si umri ulioutaja ni umri wa sigle mathers? Na hao si wamejaa mtaani? We kijana naona unaota ndoto ya saa 11 jioni wewe
 
Mkuu usidharau Jf.
nilishapata mke humu.Thanks to Jf na ndoa tulishafunga uzuri ni kwamba sote tulikuwa tunatoka mkoa mmoja hivo tukaelewana haraka.

Nikiwa naenda ukweni na home napitia hata sio mbali. Hivo mwache ajaribu bahati yake
 
Kumbe ngoja ntupie uzi , wanapostpostje mpaka uzi unafikia huku 😂😂😝😝 (naanzaje kwanza)
 
Back
Top Bottom