Natafuta Mke mnene

Mimi nipo dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wΓ la kabila na tuwasiliane kwa namba 0717667348
Hongera kwa kujilipua . Ngoja na Mimi nijilipue huenda naweza pata jiko
 
hivi unajua mtoto wako alijaribu kukutongoza kwa ID nyingine Mnara wa tz?πŸ˜†

siku hizi anajiita lamekiAgustino
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Jesuuuuu
Huyu mtoto ana tabia mbaya kias hikiπŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
Sasa huyu ngoja nimtafutie baba baunsa ampe migumi khaaaa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mimi nipo dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wΓ la kabila na tuwasiliane kwa namba 0717667348
aise πŸ’

wewe ni mgane eeπŸ’
 
Usiseme alijaribu sema alimchakata Lovelovie kimasihara
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Aiseh nimecheka kwa sauti ya hubaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na mibonge inavyojua kupenda sasa, tofauti na sie tulionyimwa nyama midomo mirefu muda wote tunatafuta ugomvi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie vimbau mbau wenzangu tubadilike tutakosa waume
muje kwa babu njunju zoazoa zizoo
 
Unachotaka wewe mwenzio hataki,usichotaka wewe mwenzio anataka,hapa ndio utagundua kweli Mungu ni fundi,akaamua kuweka kuanzia wa kilo 5 mpaka 300 na kuendelea huko ili muhangaike wenyewe msimsumbue...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…