Natafuta Mke mnene

Natafuta Mke mnene

Mimi nipo dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wàla kabila na tuwasiliane kwa namba 0717667348
Hongera kwa kujilipua . Ngoja na Mimi nijilipue huenda naweza pata jiko
 
Mimi nipo dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wàla kabila na tuwasiliane kwa namba 0717667348
aise 🐒

wewe ni mgane ee🐒
 
Na mibonge inavyojua kupenda sasa, tofauti na sie tulionyimwa nyama midomo mirefu muda wote tunatafuta ugomvi 😂😂😂😂
Nyie vimbau mbau wenzangu tubadilike tutakosa waume
muje kwa babu njunju zoazoa zizoo
 
Unachotaka wewe mwenzio hataki,usichotaka wewe mwenzio anataka,hapa ndio utagundua kweli Mungu ni fundi,akaamua kuweka kuanzia wa kilo 5 mpaka 300 na kuendelea huko ili muhangaike wenyewe msimsumbue...
 
Back
Top Bottom