Jikurubishe kwa Allah kwa kufanya ibada za usiku,icho unachokifanya wewe utajapata kwa matamanio yako ila ukimshirikisha Mwenyezi Mungu atakupatia aliye mwema katika maisha yakoKama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi
Ninaemuhita awe na sifa zifuatazo
1)awe mtoto wa kiislamu
2)mkoa wowote
3)awe mweupe
4)elimu sio muhimu
5)umri sio muhimu
6)awe tayar kwa ndoa
Jamani karibu kama upo single kama mimi karibu tujenge[emoji91]
Asante kwa ushauri inshalaahJikurubishe kwa Allah kwa kufanya ibada za usiku,icho unachokifanya wewe utajapata kwa matamanio yako ila ukimshirikisha Mwenyezi Mungu atakupatia aliye mwema katika maisha yako
Mmmmh kwenye rangi sasa mi mweusi ila vingine nimekizi na nipo tayari.Kama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi
Ninaemuhita awe na sifa zifuatazo
1)Awe mtoto wa kiislamu
2)Mkoa wowote
3)Awe mweupe
4)Elimu sio muhimu
5)Umri sio muhimu
6)Awe tayar kwa ndoa
Jamani karibu kama upo single kama mimi karibu tujenge[emoji91]