Natafuta mke muislam

Natafuta mke muislam

yumoki

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
284
Reaction score
133
Kama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi

Ninaemuhita awe na sifa zifuatazo
1)Awe mtoto wa kiislamu
2)Mkoa wowote
3)Awe mweupe
4)Elimu sio muhimu
5)Umri sio muhimu
6)Awe tayar kwa ndoa
Jamani karibu kama upo single kama mimi karibu tujenge[emoji91]
 
1)awe mtoto wa kiislamu
2)mkoa wowote
3)awe mweupe
4)elimu sio muhimu
5)umri sio muhimu
6)awe tayar kwa ndoa
Jamani karibu kama upo single kama mimi karibu tujenge[emoji91]
Jikurubishe kwa Allah kwa kufanya ibada za usiku,icho unachokifanya wewe utajapata kwa matamanio yako ila ukimshirikisha Mwenyezi Mungu atakupatia aliye mwema katika maisha yako
 
Asante kwa ushauri inshalaah
 
Kama kawaida sijapata mchumba ambaye siku moja atakuwa mke kiukweli nakuhitaji uje tujenge maisha sifa zangumimi
1)Mtumishi wa serikali na hapo mama kesha fanya jambo hapo lake
2)mrefu kiasi

Ninaemuhita awe na sifa zifuatazo
1)Awe mtoto wa kiislamu
2)Mkoa wowote
3)Awe mweupe
4)Elimu sio muhimu
5)Umri sio muhimu
6)Awe tayar kwa ndoa
Jamani karibu kama upo single kama mimi karibu tujenge[emoji91]
Mmmmh kwenye rangi sasa mi mweusi ila vingine nimekizi na nipo tayari.
 
Back
Top Bottom