Natafuta mke mwalimu

Natafuta mke mwalimu

Tupo pamoja kaka Mungu akujalie umpate mke unaetamani kumpata, binafsi pia nawish nioe mwalimu mda ukifika.
 
Nina miaka 30, nimeajiliwa na kipato namshukuru Mungu kipo fresh.

Naishi Dar es Salaam. Sina mtoto, dini mkristo. Urefu 6'2, maji ya kunde.

Natafuta mke, awe mwalimu, regardless chekechea, primary, secondary au chuo, awe ni mwalimu tu.

Kwanini Mwalimu?, well, ni sababu ni mwanamke wa ndoto zangu, naamini Mwalimu ni mzazi na mlezi bora na walimu wengi wako unique ndani ya ndoa.

Awe na umri wa miaka 25 kushuka chini, awe mweupe, asiwe na mtoto.

Mwalimu!!! muoaji nimepatikana.
Inategemea,omba Mungu.Hata wanaume walimu wapo lakini baadhi NI wa hovyo,hovyo,kupitia kiasi
 
Back
Top Bottom