Natafuta mke mwema (Re-Advertised)

Dah mkuu hii ni kwa mujibu wa katazo la mzee ambalo halijadiliki kabisa simaanishi kuwa nawachukia wanawake wa kiha nop but mzee ana maana yake ambayo sina daught naye.
Dought? Nna wasiwasi huna hyo bachelor! Kabisa una bachelor alafu unaandika "sina daught naye"???
 
Dought? Nna wasiwasi huna hyo bachelor! Kabisa una bachelor alafu unaandika "sina daught naye"???
Bachelor haiwezi nifanya nisiheshimu amri ya mzee wangu mkuu as long amenipa sababu za amri hiyo,amenipa Uhuru wa kuoa kabila lolote ktk dunia hii halafu niwe king'ang'anizi tu wa kuoa Muha automatically nitakuwa punguani niliyekubuhu sasa.Ukiwa una mashaka na hii bachelor haina shida mkuu endelea na mashaka yako tu.
 
Unathibitisha rasmi kuwa huna hyo bahcelor, yaani umeshindwa kuelewa nn namaanisha kwenye comment yako! Pole sana aisee! Hivi vyuo vya Teku, sekuco sijui, vikatazwe kutoa bachelor
 
Unathibitisha rasmi kuwa huna hyo bahcelor, yaani umeshindwa kuelewa nn namaanisha kwenye comment yako! Pole sana aisee! Hivi vyuo vya Teku, sekuco sijui, vikatazwe kutoa bachelor
Mkuu mbona hapa sio mahala pake?Yaani sikukosoma vizuri,afterall siwezi Ku concentrate na comment yako coz haina msaada ktk hitaji langu .Pia competence yako ya lugha kuna sehemu unaweza kuitumia ikakulipa but hapa anayehitajika ni mke kama una sifa karibu.
 
Powa man, pamoja! Ila we jamaa bana, umeshindwa hata kutongoza unaokutana nao huko njiani unapopita?
 
Unawezaje kua na umri huo.

Una kazi.

Rijali (Nadhani)

Uwe huna mpenzi? Ambaye time hii ungemuupgrade mpaka kua wife?
 
ngoja nimuulize ananioa au mizinguo kama mizinguo nakuja kwako bachelor sugu tule pilau december
Hahahaha ushawahi kuona mwanaume ukamuuliza utanioa akwambie hapana?akikwambia hapana aisee huyo ujue ni ukweli mno au ujue ni kauzu mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…