Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Mfungisha ndoa wa serikali kanambia miaka miwiliSio miezi 3 tu [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfungisha ndoa wa serikali kanambia miaka miwiliSio miezi 3 tu [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
We ishi nae bila mkataba mi nataka nikupe mkataba wa kudumu,huo naona ni wa muda sasa kukuondolea usumbufu wa kurenew mm nakupa wa kudumuSasa naishi nae si ndoa hiyo tayari
Mara nyingi mnapanga muda wa kuoa bila ya kuwa na mchumba. Mnakutana leo kesho ndoa, fureeeesh!!!Kwann mkuu
SoonWe ishi nae bila mkataba mi nataka nikupe mkataba wa kudumu,huo naona ni wa muda sasa kukuondolea usumbufu wa kurenew mm nakupa wa kudumu
SawaaaaMfungisha ndoa wa serikali kanambia miaka miwili
kwa majibu yako wewe unaonekana mhutuDah mkuu hii ni kwa mujibu wa katazo la mzee ambalo halijadiliki kabisa simaanishi kuwa nawachukia wanawake wa kiha nop but mzee ana maana yake ambayo sina daught naye.
Hahahah mkuu TZ hakuna kabila la wahutu,ni wachache tu wamwjipenyeza na kutuharibia nchi yetu.Una maana mi ni kabila la mh. Mtukufu?kwa majibu yako wewe unaonekana mhutu
May God lead you aisee.Soon
Interview hamna mkuukwa vile umeweka tangazo itabidi uweke na tarehe ya interview
hata mswati anafanya ukaguzi live
Hahahaha hiyo sijui km ni sife au dongo,but inapunguza kuzoeana au uchumba sugu mkuu.Mara nyingi mnapanga muda wa kuoa bila ya kuwa na mchumba. Mnakutana leo kesho ndoa, fureeeesh!!!
Dought? Nna wasiwasi huna hyo bachelor! Kabisa una bachelor alafu unaandika "sina daught naye"???Dah mkuu hii ni kwa mujibu wa katazo la mzee ambalo halijadiliki kabisa simaanishi kuwa nawachukia wanawake wa kiha nop but mzee ana maana yake ambayo sina daught naye.
Bachelor haiwezi nifanya nisiheshimu amri ya mzee wangu mkuu as long amenipa sababu za amri hiyo,amenipa Uhuru wa kuoa kabila lolote ktk dunia hii halafu niwe king'ang'anizi tu wa kuoa Muha automatically nitakuwa punguani niliyekubuhu sasa.Ukiwa una mashaka na hii bachelor haina shida mkuu endelea na mashaka yako tu.Dought? Nna wasiwasi huna hyo bachelor! Kabisa una bachelor alafu unaandika "sina daught naye"???
Unathibitisha rasmi kuwa huna hyo bahcelor, yaani umeshindwa kuelewa nn namaanisha kwenye comment yako! Pole sana aisee! Hivi vyuo vya Teku, sekuco sijui, vikatazwe kutoa bachelorBachelor haiwezi nifanya nisiheshimu amri ya mzee wangu mkuu as long amenipa sababu za amri hiyo,amenipa Uhuru wa kuoa kabila lolote ktk dunia hii halafu niwe king'ang'anizi tu wa kuoa Muha automatically nitakuwa punguani niliyekubuhu sasa.Ukiwa una mashaka na hii bachelor haina shida mkuu endelea na mashaka yako tu.
Mkuu mbona hapa sio mahala pake?Yaani sikukosoma vizuri,afterall siwezi Ku concentrate na comment yako coz haina msaada ktk hitaji langu .Pia competence yako ya lugha kuna sehemu unaweza kuitumia ikakulipa but hapa anayehitajika ni mke kama una sifa karibu.Unathibitisha rasmi kuwa huna hyo bahcelor, yaani umeshindwa kuelewa nn namaanisha kwenye comment yako! Pole sana aisee! Hivi vyuo vya Teku, sekuco sijui, vikatazwe kutoa bachelor
Powa man, pamoja! Ila we jamaa bana, umeshindwa hata kutongoza unaokutana nao huko njiani unapopita?Mkuu mbona hapa sio mahala pake?Yaani sikukosoma vizuri,afterall siwezi Ku concentrate na comment yako coz haina msaada ktk hitaji langu .Pia competence yako ya lugha kuna sehemu unaweza kuitumia ikakulipa but hapa anayehitajika ni mke kama una sifa karibu.
Hahahaha ushawahi kuona mwanaume ukamuuliza utanioa akwambie hapana?akikwambia hapana aisee huyo ujue ni ukweli mno au ujue ni kauzu mno.ngoja nimuulize ananioa au mizinguo kama mizinguo nakuja kwako bachelor sugu tule pilau december