wifeseeker
Member
- Jul 28, 2018
- 77
- 48
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, muislam.
Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah.
Vigezo vyake.
1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili.
2. Umri miaka 18-24
3. Maji ya kunde au mweupe
4. Awe hajatumika sana na asiwe na mtoto
5. Asiwe mfupi
6. Mwenye kazi au asio na kazi yote sawa
7. Mzuri na mwenye umbo zuri.
Mimi nilivyo
1. Mrefu kiasi
2. Maji ya kunde yanayokaribia weupe
3. Elimu - masters
4. Nimeajiriwa serekalini
5. Naishi dar es salaam
Karibuni dm
Ahsanteni....