Natafuta mke mwema

Natafuta mke mwema

wifeseeker

Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
77
Reaction score
48
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, muislam.

Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah.

Vigezo vyake.
1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili.

2. Umri miaka 18-24

3. Maji ya kunde au mweupe

4. Awe hajatumika sana na asiwe na mtoto

5. Asiwe mfupi

6. Mwenye kazi au asio na kazi yote sawa

7. Mzuri na mwenye umbo zuri.

Mimi nilivyo

1. Mrefu kiasi

2. Maji ya kunde yanayokaribia weupe

3. Elimu - masters

4. Nimeajiriwa serekalini

5. Naishi dar es salaam

Karibuni dm

Ahsanteni....
 
Asiyetumika sana utamjuaje Kaka yangu ? Ile kitu inatanuka na kusinyaa. Labda nikurekebishe ungesema hivi ambaye hajatumika kwa muda mrefu.
 
Ambae hajatumika kwa muda mrefu yupoje!!... Hiyo kitu haina usugu Dada.
 
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, muislam.

Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah.

Vigezo vyake.
1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili.

2. Umri miaka 18-24

3. Maji ya kunde au mweupe

4. Awe hajatumika sana na asiwe na mtoto

5. Asiwe mfupi

6. Mwenye kazi au asio na kazi yote sawa

7. Mzuri na mwenye umbo zuri.

Mimi nilivyo

1. Mrefu kiasi

2. Maji ya kunde yanayokaribia weupe

3. Elimu - masters

4. Nimeajiriwa serekalini

5. Naishi dar es salaam

Karibuni dm

Ahsanteni....

Karibuni dm
 
Salaam, mimi ni mwanaume mwenye miaka 29, muislam.

Natafuta mpenzi ili awe mke wangu insha Allah.

Vigezo vyake.
1. Muislam or mkristo mwenye imani thabit ya kikristo na yuko tayar kubadili.

2. Umri miaka 18-24

3. Maji ya kunde au mweupe

4. Awe hajatumika sana na asiwe na mtoto

5. Asiwe mfupi

6. Mwenye kazi au asio na kazi yote sawa

7. Mzuri na mwenye umbo zuri.

Mimi nilivyo

1. Mrefu kiasi

2. Maji ya kunde yanayokaribia weupe

3. Elimu - masters

4. Nimeajiriwa serekalini

5. Naishi dar es salaam

Karibuni dm

Ahsanteni....

.
 
Back
Top Bottom