Natafuta mke mwema

Natafuta mke mwema

sambara

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
17
Reaction score
3
Je, wewe ni binti unayependa kuwa na maisha ya familia yanayompendeza Mungu? Una elimu ya kidato cha nne na kuendelea? Ni mrembo? n,k. Basi njoo tusemezane. Mm ni mwanaume mwenye elimu ya chuo kikuu, kazi nzuri, etc. Natafuta mke mwema ambaye anataka kuwa na maisha mema vile vile. Wasiliana nami: samson_baraka@yahoo.co.uk

E-mail itakayoambatana na picha na maelezo ya ziada itapewa kipau mbele.
 
Kama ulimkosa chuoni take care na hao wa internet unaowatafuta!!!
 
Kaa vizuri na Mungu wako kwani mke mwema hutoka kwa Mungu na siyo JF,

Back
Top Bottom