Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

Yaani kwa hivyo vigezo wewe Una nini chamno?

Hakuna mwanamke mpumbavu atakaeangukia kwako..

Acha kujifurahisha.
 
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃
●lazima awe na Bubbly Ass🍑
○ kuhusu Dini....IDGAF
●Awe na Booty Stretchmarks 🍑😎
We una nini ndugu wanafwataga nawaooo waalewale ushaambiwa Mungu anakupa wa kufqnana nae lasaba ukaoe degree pambafuu
 
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃
●lazima awe na Bubbly Ass🍑
○ kuhusu Dini....IDGAF
●Awe na Booty Stretchmarks 🍑😎
Chukua Mfalme Zumaridi
 
Dogo umenifurahisha sana.

Kuhusu dini unasema you don't give a fck. Safi sana maana dini ni upumbavu wa hali ya juu sana.

Dogo unataka lishangazi likulee😂
 
Mimi ni kijana wa Umri 25 Yrs
Nipo Dar es Salaam
Natafuta Mke wa kuoa.
Vigezo:
●Awe na CPA(T)au awe Doctor of Medicine(MD) au awe HR🍌
○Umri 24-48😎
●Awe na sexy Chocolate (colour)🥵
○If she's above 30's basi liwe li-shangazi fulani hivi jeupe jeupe!💃
●lazima awe na Bubbly Ass🍑
○ kuhusu Dini....IDGAF
●Awe na Booty Stretchmarks 🍑😎
Mbona wewe ujatoa sifa zako.Alaa
 
Nenda pale muhimbili wamejaa kibao, pia usisahau kwenda na bango kama hili.

34BA28DC-E080-443E-90E9-1D8CC19D6F9C.jpeg
 
Back
Top Bottom