Natafuta MKE mwenye CPA(T), Doctor of Medicine au HR😎

Unatafuta watu wa nne tofauti, vp hivyo vigezo vya elimu/hela ww unavyo au ganda la ndizi/kitonga.
 
Bandiko refu wakati ilifaa kuwa na maneno machache tu kwamba unatafuta lishangazi la kukutunza
 
Habari za asubuhi??? Umeamkaje???
 
Wanakuja.
Mie nimekosa sifa moja tu
 
Mi natafuta mmama awe na familia yake mi ntakua nacheza mechi za kirafiki tu
 
Mpate tu CPA ila MD wengi tunawachosha huku shift za usiku mdogo wangu japo maamuzi unayo wewe ikiwa unataka mdomo wa mamba au mdomo wa sisimizi
 
Kijana anataka kuolewa tu hakuna kingine
 
Sema na wewe una nini kwanza!...!au ni mzee wa kusimamia m ..boo


.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…