Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
unatafuta pumziko la kukupumzisha kipindi hiki kigumu?Natafuta mwanamke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe amezaa
2. Umri miaka kuanzia 25-32
3. Awe anasali dini yeyote ila akiwa mkristo itapendeza zaidi
4. Kabila lolote isipokuwa Kutoka Lindi
5. Umbo: asiwe kapigwa pasi sana
6. Awe na tabia njema
7. Elimu kuanzia kidato cha nne.
SIFA ZANGU
1. Nina miaka 27
2. Mweusi
3. Degree holder
4. Naishi kanda ya ziwa, mkoa wa Mwanza
5. Bado sijatoboa kimaisha
6. Mwanifu ktk mahusiano na hata nyanja zingine za maisha
7. Dini: Mkristo
Kama yupo tayari tuwasiliane dm
Yupo mkoa ganiNna ndugu yangu ana sifa hizo, shida ana mapacha au mmoja amuache kwa bibi ake
Hahahahah! Siyo kulelewa mkuuJamaa linataka kulelewa tafuta kazi !!
MtwaraYupo mkoa gani
Mhhhh!Mtwara
[emoji2][emoji2]Nna ndugu yangu ana sifa hizo, shida ana mapacha au mmoja amuache kwa bibi ake
Una watoto wangapningejiweka hapa sema miaka 27 mdogo aisee
wawiliUna watoto wangap
Khakhakhaaaa!!unatafuta pumziko la kukupumzisha kipindi hiki kigumu?
ningejiweka hapa sema miaka 27 mdogo aisee
We njoo tuyajenge tyuningejiweka hapa sema miaka 27 mdogo aisee