Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo
1. Awe na ngozi yake original ambayo haijachubuliwa wala kuongezwa chemical yoyote
2. Awe na nywele zake halisi 24hrs
3. Awe na nyuso kope na rangi ya macho yake halisi
4. Awe na rang za lips ya midomo yake halis 24hrs
5. Awe na kucha zake zenye rang halis tena ziwe fupi 24hrs
6. Awe na shape yake halisi