Joshuamsemakweli
Member
- Oct 24, 2017
- 9
- 4
Bado natafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo tayariMaskini yaan umejiunga Jana Leo unataka mchumba je unawajua wadada walioko humu, na je ukitiari kukabiliana na changamoto zote utakazo kutananazo humu na asilimia 99 humu wanawanaume zao humu jitahidi upate hio 1 iliobaki
Ili mradi awena vigezo hivo nilivovitajaMaskini yaan umejiunga Jana Leo unataka mchumba je unawajua wadada walioko humu, na je ukitiari kukabiliana na changamoto zote utakazo kutananazo humu na asilimia 99 humu wanawanaume zao humu jitahidi upate hio 1 iliobaki
Sio kua na waume zao tu hata wengine baadhi ni matapeli na wafanyabiashara wa mapenzi...unachat na kujuana na mtu leo kesho anakuambua umtumie hela ya mama yake au baba yake anaumwa au umsaidie hela ya umeme ama kodiMaskini yaan umejiunga Jana Leo unataka mchumba je unawajua wadada walioko humu, na je ukitiari kukabiliana na changamoto zote utakazo kutananazo humu na asilimia 99 humu wanawanaume zao humu jitahidi upate hio 1 iliobaki
MhhhhSio kua na waume zao tu hata wengine baadhi ni matapeli na wafanyabiashara wa mapenzi...unachat na kujuana na mtu leo kesho anakuambua umtumie hela ya mama yake au baba yake anaumwa au umsaidie hela ya umeme ama kodi
ila simkatishi mleta mada waliotulia wapo
Wakweli pia wapoSio kua na waume zao tu hata wengine baadhi ni matapeli na wafanyabiashara wa mapenzi...unachat na kujuana na mtu leo kesho anakuambua umtumie hela ya mama yake au baba yake anaumwa au umsaidie hela ya umeme ama kodi
ila simkatishi mleta mada waliotulia wapo
Yalikukuta nini!!!Sio kua na waume zao tu hata wengine baadhi ni matapeli na wafanyabiashara wa mapenzi...unachat na kujuana na mtu leo kesho anakuambua umtumie hela ya mama yake au baba yake anaumwa au umsaidie hela ya umeme ama kodi
ila simkatishi mleta mada waliotulia wapo