Natafuta mke mwenye vigezo hivi

yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Hauko serious Mkuu,wewe sema unataka Damu changa
 
Ivi ww Mzima Kweli na umri wako kuenda unatafuta mke WA kuoa??? Seriously?? Wapi uliwahi kuambiwa kuna mke Ambae hajaolewa???
 
Ivi ww Mzima Kweli na umri wako kuenda unatafuta mke WA kuoa??? Seriously?? Wapi uliwahi kuambiwa kuna mke Ambae hajaolewa???
Nashukuru,nadhani ni kiswahili tu kimeteleza,si unajua kiswahili ni kama nyama ya tembo!!!
 
natamani ningekufaham ningekuelekezea kwa binti fulani hivi mcha Mungu angekufaa bt mitandao naiogopaaaa
 
Kwenye mitandao utoa vibwengo wanawake wako wengi mpaka hapo unapoishi wapo au unataka usiyemjua tabia jichanganye wakuibukie wauza nyama utajuta
 
Umbile la kiutu uzima ndiyo umbile gani tena hilo?
 
Umesema mke wako wa zamani... So ulishawahi kuoa?
 
Una maana kama una miaka labda 35 basi shurti uwe mnene
Miaka 22 shurti uwe mwembamba?
Sijaelewa bado mkuu
Basi kukusaidia nikwamba asiwe na umbile la kitoto.Hapo umbile linatia ndani muonekano wake pia uwezo wa kushughulikia mambo kiutuuzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…