LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
[emoji23] [emoji23] angalia tu usijiunganishie mwenyewe Mkuu [emoji23] [emoji23]Wapo ni PM namba nikuunganishie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] angalia tu usijiunganishie mwenyewe Mkuu [emoji23] [emoji23]Wapo ni PM namba nikuunganishie
Hauko serious Mkuu,wewe sema unataka Damu changayeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Nashukuru,nadhani ni kiswahili tu kimeteleza,si unajua kiswahili ni kama nyama ya tembo!!!Ivi ww Mzima Kweli na umri wako kuenda unatafuta mke WA kuoa??? Seriously?? Wapi uliwahi kuambiwa kuna mke Ambae hajaolewa???
Wewe haujawahi kukosea?Mimi siyo perfect!!!Ivi ww Mzima Kweli na umri wako kuenda unatafuta mke WA kuoa??? Seriously?? Wapi uliwahi kuambiwa kuna mke Ambae hajaolewa???
Hahahaha Dada umeniua mbavu, naona anataka kukupeperushiamkuu nani mwizi hapa?
Ushaambiwa mcheki PM baro unakomaa na kumquoteWeka wazi una vigezo vipi.LAKINI ELEWA MIMI SITANII.NINAMAANISHA NILICHOANDIKA!!!!!!
natamani ningekufaham ningekuelekezea kwa binti fulani hivi mcha Mungu angekufaa bt mitandao naiogopaaaa
Umesema mke wako wa zamani... So ulishawahi kuoa?Mimi niweke wazi ninafanyakazi ambayo siwezi kuhama na ni ya kudumu.Hivyo mke wangu lazima awe tayari kunifuata.Mke wangu wa zamani aliingia kwenye matatizo baada ya kuwa anaishi mbali na mimi kisa kazi.Jamani hizi kazi zinazotenganisha wenzi zinachangia sana kuzivunja ndoa badala ya kuziimarisha!!Umeniuliza mke atoke mkoa gani,ni ngumu kubashiri.Mimi sioi mkoa ila mtu.Anaweza akawa wa asili ya arusha,Mwanza,Kigoma,Tabora,au Zanzibar lakini ukamkuta anaishi Mbeya kama mimi.Kwa hiyo mkoa hauna maana isipokuwa makubaliano.
Rudia kusoma thread yangu nadhani nimeeleza kila kitu!!!Umesema mke wako wa zamani... So ulishawahi kuoa?
Yule ambaye umri unaendana na umbo lake na si vinginevyo!Umbile la kiutu uzima ndiyo umbile gani tena hilo?
Una maana kama una miaka labda 35 basi shurti uwe mneneYule ambaye umri unaendana na umbo lake na si vinginevyo!
Nipe kaz ya house maid ,nilipe vizuriSIJASHINDWA KUFANYA HIVYO.LAKINI HOUSEGIRL WA MIAKA 25,UTAMPATA WAPI?NA SIKUFICHI NIKO SERIOUS KWENYE HILO.
Basi kukusaidia nikwamba asiwe na umbile la kitoto.Hapo umbile linatia ndani muonekano wake pia uwezo wa kushughulikia mambo kiutuuzima!Una maana kama una miaka labda 35 basi shurti uwe mnene
Miaka 22 shurti uwe mwembamba?
Sijaelewa bado mkuu
Acha utani!Nipe kaz ya house maid ,nilipe vizuri