Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Hapa hapakufai sista ondoka bila kuangalia nyuma[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Usipite bila kuachia sala padre
Sawa kwa kuwa wewe uwezo wako WA kufikiria umeishia hapo.Acha wengine waendelee ulipoishia!Ni kweli maana hujali hisia za wengine watu kama nyinyi lazima tuwaombee mzidi kutendwa tu
Haiwezekani umzalishe mtu then utake kuoa mwingine
Umempotezea muda wake kiasi gani
WAHESHIMUNI WANAWAKE WANA MOYO NAO
BORA USINGEWAZALISHA nani amuoe sasa?
real hufai kama yupo hai
Tumekulia na mama wa kambo tunajua ugumu wake
Kuendelea kuona ujinga kama huu
Bora kulala tu
Usinambie ntakua jiwe la chumvi padre[emoji27]Hapa hapakufai sista ondoka bila kuangalia nyuma[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ushauri kwako warudie uliowazalisha watotoSawa kwa kuwa wewe uwezo wako WA kufikiria umeishia hapo.Acha wengine waendelee ulipoishia!
[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ngoja tuondoke sistaUsinambie ntakua jiwe la chumvi padre[emoji27]
Afu acha kumshambulia mleta uzi bana. Mbona amejieleza vizuri tu
Hapo nimekuelewa Mkuu. Kila lakheriElewa mada ndugu.Mwanamke niliyemzalisha watoto hao ni mmoja.Alichoshwa na mimi kutumia muda mwingi masomoni!!!!
Elewa mada ndugu.Mwanamke niliyemzalisha watoto hao ni mmoja.Alichoshwa na mimi kutumia muda mwingi masomoni!!!!
Cc THE RICHARDSyeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Chukua mzigo huo nikumbuke kwenye harusi yenu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Umechanganya mambo mpaka unashindwa kueleweka!Angalia unapochangia hoja usidhani kwa kuwa wewe tatizo lako ni kuwajaza tu mimba wanawake halafu ukadhani kila mwanamume yuko hivyo!Wengine tumezaliwa na kukulia kwenye ustaarabu!!Watoto wawili? Inaonyesha lengo lako hata huyo utakaekukubalia unaweza kuzalia tu. Onyo kwa wadada ndoa kwanza mimba baadae
He hee ndo umegeuza kibao sioChukua mzigo huo nikumbuke kwenye harusi yenu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Duuuuh maana hoja anayo KOSA NI MWANAMKE
WANAWAKE MUDA MWINGINE NI WAJINGA
UVUMILIVU HAWANA
Pole mkuu
Hahah sista kwani hutaki? Basi kamgawie tunda kiduchu tu ila ukumbuke kurudiHe hee ndo umegeuza kibao sio
OkHapo nimekuelewa Mkuu. Kila lakheri
HAPANA, HAO WAMESHANIFUATA WENGI TUMESHINDANA KWANI WALIO WENGI BADO WANA MAHUSIANO NA WAZAZI WENZAO!!!Kama yuko above 25 na anamtoto haruhusiwi kufanya application??[emoji6]