ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
- Thread starter
- #261
ACHA UTANI!!!!!!!!Niko tayar kwa ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ACHA UTANI!!!!!!!!Niko tayar kwa ndoa
Mimi sina mawasiliano nae na Niko above 25 naruhusiwaHAPANA, HAO WAMESHANIFUATA WENGI TUMESHINDANA KWANI WALIO WENGI BADO WANA MAHUSIANO NA WAZAZI WENZAO!!!
[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Ndo wale wa shift za usiku?Nicheki 0689 469097 nafanya kazi hotel ni single mother..naishi Dsm
NIMEAMINI KUWA MAPENZI YA MITANDAONI AKINA DADA WENGI SI WAKWELI!!!!!!!mkuu bado haujalata ty
Kwanini?NIMEAMINI KUWA MAPENZI YA MITANDAONI AKINA DADA WENGI SI WAKWELI!!!!!!!
NI HISTORIA NDEFU!!!!Kwanini?
Pole ila usikate tamaa mshirikishe sana Mungu kakaangu.NI HISTORIA NDEFU!!
MUNGU HANA TATIZO KABISA. TATIZO NI WANADAMU WA KARNE HII NDIYO MATATIZO!!!Pole ila usikate tamaa mshirikishe sana Mungu kakaangu.
Haswaaa atafute wanaokalibiana umri ,kuanzia umri huo damu ndo kwanza inachemka afu mwingine hajawai kuzaa afu yeye anataka watoto wawili tu wa kuongeza mmmmh apo shida labda umpate ambaye alishaolewa akaachwa km wew ulivyooa ukaacha. Hapo mtaelewana25 akulelee watoto wako? Anzia angalau 30 mkuu 25 ndo kwanzaa anaanza kuujua utamu ambao ww ulishamaliza na watoto ukapata atakusumbua au mtasumbuana tafuta walimu wapo kibao na kwa kulea watoto wako vzr!!
kwa nin mkuu wamekufanyaje tena poleNIMEAMINI KUWA MAPENZI YA MITANDAONI AKINA DADA WENGI SI WAKWELI!!!!!!!
NI MAJANGA!!!!!!!!!!kwa nin mkuu wamekufanyaje tena pole
pole usiwatangulizie pesa kwanza mkuuNI MAJANGA!!!!!!!!!!
Bado hujapata mke mpk leo?Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Kwa sasa utakuwa umerudi nchini.... mnaweza kuyajenga na kurudiana tena.... Litakuwa ni jambo la heri...!!!Elewa mada ndugu.Mwanamke niliyemzalisha watoto hao ni mmoja.Alichoshwa na mimi kutumia muda mwingi masomoni!!!!
BADO, WALIONIFUATA NILIGUNDUA HAWAKUWA WAKWELIBado hujapata mke mpk leo?
NAOMBA NISIJIBU HII HOJA YAKO KWA KUWA HUELEWI KIINI CHA TATIZO!! MWANAMKE HUWA ANATAMANI NDOA KABLA HAJAIPATA, AKIISHAOLEWA THAMANI YA NDOA HUSHUKA!! HII NI KULINGANA NA YALIYONIPATA PAMOJA NA UCHUNGUZI WANGU USIO RASMI!!!Kwa sasa utakuwa umerudi nchini.... mnaweza kuyajenga na kurudiana tena.... Litakuwa ni jambo la heri...!!!