ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
- Thread starter
-
- #21
kunasehemu umekosea katika maisha yako,. hapo hutapa mwanamke atakaye kupenda utapata mwizi tu. mtafute uliyezaa naye
Hapo kosa liko wapi,nieleweshe tafadhari! Pia elewa mimi sitaniikunasehemu umekosea katika maisha yako,. hapo hutapa mwanamke atakaye kupenda utapata mwizi tu. mtafute uliyezaa naye
Yupo hapa jirani lakini nae ana watoto wawili, vipi nikupe namba?
Acha utani mimi niko serious!!!!Yupo hapa jirani lakini nae ana watoto wawili, vipi nikupe namba?
Mimi ni mwalimu.Nadhani nimejifafanua sana.Tafadhalini ninatafuta hasa akina mama ambao bado wako single.haujawahi wazi unafanya kazi gani mkuu?
Mimi ni mwalimu.Nadhani nimejifafanua sana.Tafadhalini ninatafuta hasa akina mama ambao bado wako single.haujawahi wazi unafanya kazi gani mkuu?
Nicheki mimi pia ninatafuta mume mwenye sifa zako pia Nina vigezo ninavyotaka and am more than seriousMimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Weka wazi una vigezo vipi.LAKINI ELEWA MIMI SITANII.NINAMAANISHA NILICHOANDIKA!!!!!!Nicheki mimi pia ninatafuta mume mwenye sifa zako pia Nina vigezo ninavyotaka and am more than serious
Nikajua hao hao wawili wanatutosha jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Labda haujanielewa,nimesema umri kuanzia miaka 25,kwa sababu dokta wa tiba kanishauri kuwa sasa hivi umri wa mwanamke kujifungua salama ni kuwa chini ya miaka 35.Na mimi nataka watoto wawili tu ili niwe na watoto wanne kwa ujumla.25 akulelee watoto wako? Anzia angalau 30 mkuu 25 ndo kwanzaa anaanza kuujua utamu ambao ww ulishamaliza na watoto ukapata atakusumbua au mtasumbuana tafuta walimu wapo kibao na kwa kulea watoto wako vzr!!
Umeamua kujikubwaisha? Kasema kuanzia 25 kwahiyo bado uko ndani ya sifa.Nina vigezo vyote lakini nina 35 mkuu
Tuko kwenye kinyang'anyiro mkuu, it's all about campaing.Umeamua kujikubwaisha? Kasema kuanzia 25 kwahiyo bado uko ndani ya sifa.
Acha kuweka mchanga kwenye vitumbua vya wanzako, nilipoamka asubuhi hii sikutemea kama nitapata fursa ya kinyang'anyira cha kuwa mke wa mtu.Mkuu nenda Zambia utapata Wa sifa hizo hpa bongo watakuzingua tu
Sent from my itel it1507 using JamiiForums mobile app
Hawataki maendeleo yetu hawa, mfyuuu!!Acha kuweka mchanga kwenye vitumbua vya wanzako, nilipoamka asubuhi hii sikutemea kama nitapata fursa ya kinyang'anyira cha kuwa mke wa mtu.
Vigezo ninavyo lkn nina 35 [emoji33]Labda haujanielewa,nimesema umri kuanzia miaka 25,kwa sababu dokta wa tiba kanishauri kuwa sasa hivi umri wa mwanamke kujifungua salama ni kuwa chini ya miaka 35.Na mimi nataka watoto wawili tu ili niwe na watoto wanne kwa ujumla.