Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Natafuta mke mwenye vigezo hivi

kunasehemu umekosea katika maisha yako,. hapo hutapa mwanamke atakaye kupenda utapata mwizi tu. mtafute uliyezaa naye
kunasehemu umekosea katika maisha yako,. hapo hutapa mwanamke atakaye kupenda utapata mwizi tu. mtafute uliyezaa naye
Hapo kosa liko wapi,nieleweshe tafadhari! Pia elewa mimi sitanii
 
Yupo hapa jirani lakini nae ana watoto wawili, vipi nikupe namba?
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
Nicheki mimi pia ninatafuta mume mwenye sifa zako pia Nina vigezo ninavyotaka and am more than serious
 
yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Nikajua hao hao wawili wanatutosha jamani[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
25 akulelee watoto wako? Anzia angalau 30 mkuu 25 ndo kwanzaa anaanza kuujua utamu ambao ww ulishamaliza na watoto ukapata atakusumbua au mtasumbuana tafuta walimu wapo kibao na kwa kulea watoto wako vzr!!
Labda haujanielewa,nimesema umri kuanzia miaka 25,kwa sababu dokta wa tiba kanishauri kuwa sasa hivi umri wa mwanamke kujifungua salama ni kuwa chini ya miaka 35.Na mimi nataka watoto wawili tu ili niwe na watoto wanne kwa ujumla.
 
Vigezo ninavyo lkn nina 35 [emoji33]
 
Back
Top Bottom