Sawa, kila la kheri mkuu.Kumbuka natafuta mwenza wa maisha.Mimi niko huru kila ninayempata namruhusu awe wazi kwangu nami simfichi chochote.HIVYO PAMOJA NA KWAMBA MIMI NINATAFUTA NA BADO SIJAPATA, PIA NA UPANDE WA PILI UNA HAKI YA KUAMUA!!!!
Natamani nirudishe umri nyuma maana vigezo vyote ninavyo ila nina 39yrs
By this moment this are the kind of men i like coz they hav Experienced a lot in relationship....
Hujui ulezi ndio kazi yangu,hivyo sina shida ila wasiwe tu na umri mdogo kuliko ndoa.sikujua kama uo tayari kulea watoto wa wenyewe!
amesema mama wa watoto yuko wapi vile?
Mama watoto kaniacha.Alishindwa kuvumilia muda anaodai ulipotea masomoni!!sikujua kama uo tayari kulea watoto wa wenyewe!
amesema mama wa watoto yuko wapi vile?
BADO NAENDELEA KUAMINI KUWA HATA INGAWA BADO SIJAPATA WIFE TO BE(MKE MTARAJIWA) IKO SIKU NITAPATA.MREJESHO NI KWAMBA KILA NINAYEMPATA ANADAI ANA KAZI YA KUDUMU TENA MIKOA YA PWANI KWA HIYO UNAKUTA INAKUWA NGUMU KUANZISHA BOND!JAMANI TUSIDANGANYANE MAISHA YA NDOA MUNGU ALIKUSUDIA MUME NA MKE WAISHI PAMOJA.NA NDIYO MAANA YA NDOA!!!!Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Kumbuka mimi niko serious na sitafuti mshindani bali MWENZA WA MAISHA!!!.Sasa unaposema tutakuwa ngoma droo sikuelewi!!!!kunaambaye ana miaka 25 na anawatoto wa 2 nikuunganishe nae,simtazaa tena wa 2 jumla mtakuwa nawatoto 6 ngoma droo
Labda niongeze na sifa hii moja kwa mke mtarajiwa wangu kuwa ningependa hata kama anafanya kazi zisiwe zile za mikataba ya kudumu hasa mbali na eneo nililopo.Mimi siwezi kuishi mbali na mke kwa kigezo cha kazi.Babu yangu alishaniusia kuwa kuishi mbali kwa wenza wa ndoa ni kumpa nafasi shetani afanye mambo yake!Naliweka wazi hili kwa sababu akina dada wote ninaopata wanadai kuwa kuolewa wako tayari ila pia wataishi mbali na mume kwa kigezo cha kazi!!!HUO NDIYO MTIHANI!!!!Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Nipe no.Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Naomba no yako naweza kuwa na hivyo vigezo au ushapataSIJASHINDWA KUFANYA HIVYO.LAKINI HOUSEGIRL WA MIAKA 25,UTAMPATA WAPI?NA SIKUFICHI NIKO SERIOUS KWENYE HILO.
Tuwasiliane basi kama bado hujampataNipe no.
Niliomba kwa aliye serious anipm!!!Naomba no yako naweza kuwa na hivyo vigezo au ushapata
Am seriousNiliomba kwa aliye serious anipm!!!