Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Naona haujanielewa,huyu mpenzi wangu wa zamani yeye yuko tofauti na mipango ya kusoma.Pia naona ananiona kama nimezeeka.Nadhani na yeye ni kama ameshawekeza mahali.
Mkuu usihangaike na wahuni wahitaji wapo watakuja tu
 
Daah kaka bora usingesema kama una watoto kizazi hiki cha dot com kuishi na watoto ambao si wakwake ni shida sana nakushauli kama uko serious na hilo weka bango mitaa unayoish huenda ukafanikiwa ila humu kwenye mitandao watakuzingua
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
Duh we jamaa noma,tangazo lako kiboko
 
yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Kwani unafanya kazi YANAPA mkuu!!

Nina maana unaishi porini huna majirani wanaokuzunguka ili uchague m1 anaekufaa tena kwa uchunguzi wa tabia yake kupitia majirani wema?
 
Daah kaka bora usingesema kama una watoto kizazi hiki cha dot com kuishi na watoto ambao si wakwake ni shida sana nakushauli kama uko serious na hilo weka bango mitaa unayoish huenda ukafanikiwa ila humu kwenye mitandao watakuzingua
Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi!!!Ila hata humu jf,hao watu unaosema ni wa mtaani kwangu wapo pia!!!
 
Kwani unafanya kazi YANAPA mkuu!!

Nina maana unaishi porini huna majirani wanaokuzunguka ili uchague m1 anaekufaa tena kwa uchunguzi wa tabia yake kupitia majirani wema?
Tatizo ni kwamba tabia haitabiriki,mtu mwenye tabia nzuri leo kesho aweza kuwa balaa.Na mtu mwenye tabia mbaya leo kesho utakuta kaokoka.Sema ni kutafuta tu mtu mtakayesikilizana.Pia kuna watu ni mafundi wa kuficha tabia zao mbaya,kumgundua labda uishi naye!!
 
Daah kaka bora usingesema kama una watoto kizazi hiki cha dot com kuishi na watoto ambao si wakwake ni shida sana nakushauli kama uko serious na hilo weka bango mitaa unayoish huenda ukafanikiwa ila humu kwenye mitandao watakuzingua
Kaka sijazoea kusema uongo.Ukweli ni kwamba hata ukificha huna watoto kuumbuka ni rahisi.Mwenza wako akigundua kuituliza hiyo hali inaweza kukugharimu!!!!
 
Back
Top Bottom