Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Em niombee huko
Unaishi Mbeya?
Dota ushindwe mwenyewe tu sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Em niombee huko
Unaishi Mbeya?
Nadhani nimejieleza vya kutosha,kama uko interested nipm.Tuongee kwa kirefu.Em niombee huko
Unaishi Mbeya?
Mkuu usihangaike na wahuni wahitaji wapo watakuja tuNaona haujanielewa,huyu mpenzi wangu wa zamani yeye yuko tofauti na mipango ya kusoma.Pia naona ananiona kama nimezeeka.Nadhani na yeye ni kama ameshawekeza mahali.
ASANTE KWA KUONGEA MANENO YA BUSARA!!!!!Mkuu usihangaike na wahuni wahitaji wapo watakuja tu
Wapo wengi labda hujatafutaSIJASHINDWA KUFANYA HIVYO.LAKINI HOUSEGIRL WA MIAKA 25,UTAMPATA WAPI?NA SIKUFICHI NIKO SERIOUS KWENYE HILO.
Ni kweli wapo wengi,lakini kumpata mnayekubaliana ni MTIHANI TOSHA!!!!Wapo wengi labda hujatafuta
Beki 3 hawezi kukataaNi kweli wapo wengi,lakini kumpata mnayekubaliana ni MTIHANI TOSHA!!!!
Unamaanisha nini?Beki 3 hawezi kukataa
Ukimleta hom, mkazoeana, unadokeza na unalamba mzigoUnamaanisha nini?
Duh we jamaa noma,tangazo lako kibokoMimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.
Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!
Aliye tayari aniPM.
Kwani unafanya kazi YANAPA mkuu!!yeye penzi kwangu lilishachuja.Ananiona kama ni kama nimezeeka.Kumbuka muda wote huu nilikuwa nawatunza kwa gharama zangu.Kiufupi hata nikioa sihitji watoto wengi.Ninao wawili NITAONGEZA WAWILI kwa mke mpya na basi.
Asante kwa ushauri,nitaufanyia kazi!!!Ila hata humu jf,hao watu unaosema ni wa mtaani kwangu wapo pia!!!Daah kaka bora usingesema kama una watoto kizazi hiki cha dot com kuishi na watoto ambao si wakwake ni shida sana nakushauli kama uko serious na hilo weka bango mitaa unayoish huenda ukafanikiwa ila humu kwenye mitandao watakuzingua
Tatizo ni kwamba tabia haitabiriki,mtu mwenye tabia nzuri leo kesho aweza kuwa balaa.Na mtu mwenye tabia mbaya leo kesho utakuta kaokoka.Sema ni kutafuta tu mtu mtakayesikilizana.Pia kuna watu ni mafundi wa kuficha tabia zao mbaya,kumgundua labda uishi naye!!Kwani unafanya kazi YANAPA mkuu!!
Nina maana unaishi porini huna majirani wanaokuzunguka ili uchague m1 anaekufaa tena kwa uchunguzi wa tabia yake kupitia majirani wema?
Kaka sijazoea kusema uongo.Ukweli ni kwamba hata ukificha huna watoto kuumbuka ni rahisi.Mwenza wako akigundua kuituliza hiyo hali inaweza kukugharimu!!!!Daah kaka bora usingesema kama una watoto kizazi hiki cha dot com kuishi na watoto ambao si wakwake ni shida sana nakushauli kama uko serious na hilo weka bango mitaa unayoish huenda ukafanikiwa ila humu kwenye mitandao watakuzingua
Mimi ninasifa hizo tuoane basKaka sijazoea kusema uongo.Ukweli ni kwamba hata ukificha huna watoto kuumbuka ni rahisi.Mwenza wako akigundua kuituliza hiyo hali inaweza kukugharimu!!!!
Ni pm,tuongee vizuri!!!Mimi ninasifa hizo tuoane bas
MImi nilikupiyemNiliomba kwa aliye serious anipm!!!