Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Kaka sijazoea kusema uongo.Ukweli ni kwamba hata ukificha huna watoto kuumbuka ni rahisi.Mwenza wako akigundua kuituliza hiyo hali inaweza kukugharimu!!!!
Umefanya vyema. Hata kichaa huwa anataka kuwa recognised kama ana mtoto na yupo proud mno na watoto wake, sembuse wewe mwenye akili zako timamu. Na kwa nini mtu afiche watoto wake, anawaonea aibu au? Tena mtu akija, maongezi ya kwanza tu shurti ajue una watoto, aamue kusuka ama kunyoa. Watoto wako, priority yako
 
Yupo ambaye hazai,utapenda?kama uko Tatar ni Pm nikuunganishe
 
Yaaani mm nimefit kabisaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…