huez jua mzee kabda account yake bank inasoma milion 50+Mkuu me Nina miaka 25 lakini bado sijawaza hata kuoa!, Tusubiri Hadi tufikishe miaka 40 ndo tuoe mkuuu au unaonaje[emoji23].
dah pole SanaHapana mkuu, he died when I was still in my mom's womb.
Basi ngoja me nisubirie hadi nifikishe miaka40 ndo nioe maana hamna namna😂Mimi na mshauri afanye kitu roho inapenda na pia huyo anaetaka kumuoa kwa Sasa ni vyema apate mda wakusomana maana ni Kama anaharaka Sana .
Ukizaa nje ya ndoa Mara nyingi inakua inamuumiza mtoto,maana anahitaji wazazi wake wawili unakuta ww na mke mwingine mzazi mwenzako ana mume wake.kisaikojia ina adhari kwa mtoto.Mkuu siyo lazima kuona wajukuu, ilimradi tu umezaa😁
Ni kweli kabisa mkuu!Ukizaa nje ya ndoa Mara nyingi inakua inamuumiza mtoto,maana anahitaji wazazi wake wawili unakuta ww na mke mwingine mzazi mwenzako ana mume wake.kisaikojia ina adhari kwa mtoto.
Face to Face ndiyo mpango mzima. Nenda kamalizie chuoNimefikiria Hilo swala kwasababu dunia ipo advanced sasa hivi nawaza nichukue online classes
Ahahahahuez jua mzee kabda account yake bank inasoma milion 50+
WWazazi walivyomaanisha uoe hawajamaanisha ndiyo uanze kutafuta.
Walimaanisha katika kikundi cha wapenzi ulionao chagua mmoja uoe.
Lakini mpaka umekuja humu inamaanisha wewe hujihusishi na mabinti na ndiyo haswa hofu ya wazazi wako kwakua wasingeweza kukutamkia kua "Mwanetu anza kut0mba"
So hiyo ni namna yao ya kujua kama nguvu zipo au ndo vile. Na hatua yako ya kwanza ya kudeal na mtihani wao itawadhihirishia humu nguvu nehi.
Sema tatizo nikimaliza chuo halafu nisiitendee elimu yangu haki huwa inaumiza.maana nitataka niendelee mpaka P.H.D niandike vitabu kadhaa ama nifundishe chuo jina langu liwekwe kwenye wall of fameFace to Face ndiyo mpango mzima. Nenda kamalizie chuo
Wazazi wanajua kwamba siwezi kosa demu.humu natafuta changamoto mpya.Wazazi walivyomaanisha uoe hawajamaanisha ndiyo uanze kutafuta.
Walimaanisha katika kikundi cha wapenzi ulionao chagua mmoja uoe.
Lakini mpaka umekuja humu inamaanisha wewe hujihusishi na mabinti na ndiyo haswa hofu ya wazazi wako kwakua wasingeweza kukutamkia kua "Mwanetu anza kut0mba"
So hiyo ni namna yao ya kujua kama nguvu zipo au ndo vile. Na hatua yako ya kwanza ya kudeal na mtihani wao itawadhihirishia humu nguvu nehi.
Mi nipo tayari kabisa kutimiza hatua hii pili kutoka mwisho wa kifoUnaoa kwa matakwa ya wazazi?,wewe ndani ya moyo wako uko tayari kuoa?
Sicario:day of the soldadoYani mkuuu unaoa baada ya kushauriwa na wazazi [emoji1787][emoji1787] pole sana
Unakwama dogo, miaka 26 unashindwa kunasa watoto wabichi mtaani, kwa vipesa vidogo vidogo vya kuhonga na kupata mmoja mkali wa kuweka geto.
Umu wengi ni above 30, huku sio fb useme hadi beki 3 wamo
Kweli mkuu,sema wa mtaani ving'ang'nizi halafu hawana structure katika maisha.wengi wao watoto Sana.
Nitazingatia ushauri wako mkuu!Nakupa pole sana, kama una gari sio usafiri, pisi za mtandaoni utazipata nyingi sana zinapenda mtu mwenye pesa au level ya kati.
Ushauri wa bure kwa kuwa umepewa wazo ma wazazi wambie wakusaidie kutafuta wa kuoa, kuna miji ya kuoa na kuzaa nao bhasi.
Usioe sura oa mke wa kukusaidia majukumu, plus kutafuta pesa, apo utakuwa tajiri ndani ya mwaka.
walau akifika 38 ndo aanze kuwaza waza kidogo😆😆Mkuu me Nina miaka 25 lakini bado sijawaza hata kuoa!, Tusubiri Hadi tufikishe miaka 40 ndo tuoe mkuuu au unaonaje😂.
sawa mkuu Kila la heriBasi ngoja me nisubirie hadi nifikishe miaka40 ndo nioe maana hamna namna😂