Natafuta mke, nina miaka 26

Natafuta mke, nina miaka 26

Mimi na mshauri afanye kitu roho inapenda na pia huyo anaetaka kumuoa kwa Sasa ni vyema apate mda wakusomana maana ni Kama anaharaka Sana .
Basi ngoja me nisubirie hadi nifikishe miaka40 ndo nioe maana hamna namna😂
 
Ukizaa nje ya ndoa Mara nyingi inakua inamuumiza mtoto,maana anahitaji wazazi wake wawili unakuta ww na mke mwingine mzazi mwenzako ana mume wake.kisaikojia ina adhari kwa mtoto.
Ni kweli kabisa mkuu!
 
Wazazi walivyomaanisha uoe hawajamaanisha ndiyo uanze kutafuta.

Walimaanisha katika kikundi cha wapenzi ulionao chagua mmoja uoe.

Lakini mpaka umekuja humu inamaanisha wewe hujihusishi na mabinti na ndiyo haswa hofu ya wazazi wako kwakua wasingeweza kukutamkia kua "Mwanetu anza kut0mba"

So hiyo ni namna yao ya kujua kama nguvu zipo au ndo vile. Na hatua yako ya kwanza ya kudeal na mtihani wao itawadhihirishia humu nguvu nehi.
 
W
Face to Face ndiyo mpango mzima. Nenda kamalizie chuo
Sema tatizo nikimaliza chuo halafu nisiitendee elimu yangu haki huwa inaumiza.maana nitataka niendelee mpaka P.H.D niandike vitabu kadhaa ama nifundishe chuo jina langu liwekwe kwenye wall of fame
 
]Unaoa kwa matakwa ya wazazi?,wewe ndani ya moyo wako uko tayari kuoa?
 
Wazazi walivyomaanisha uoe hawajamaanisha ndiyo uanze kutafuta.

Walimaanisha katika kikundi cha wapenzi ulionao chagua mmoja uoe.

Lakini mpaka umekuja humu inamaanisha wewe hujihusishi na mabinti na ndiyo haswa hofu ya wazazi wako kwakua wasingeweza kukutamkia kua "Mwanetu anza kut0mba"

So hiyo ni namna yao ya kujua kama nguvu zipo au ndo vile. Na hatua yako ya kwanza ya kudeal na mtihani wao itawadhihirishia humu nguvu nehi.
Wazazi wanajua kwamba siwezi kosa demu.humu natafuta changamoto mpya.
 
Unakwama dogo, miaka 26 unashindwa kunasa watoto wabichi mtaani, kwa vipesa vidogo vidogo vya kuhonga na kupata mmoja mkali wa kuweka geto.

Umu wengi ni above 30, huku sio fb useme hadi beki 3 wamo
 
Kweli mkuu,sema wa mtaani ving'ang'nizi halafu hawana structure katika maisha.wengi wao watoto Sana.
 
Nakupa pole sana, kama una gari sio usafiri, pisi za mtandaoni utazipata nyingi sana zinapenda mtu mwenye pesa au level ya kati.

Ushauri wa bure kwa kuwa umepewa wazo ma wazazi wambie wakusaidie kutafuta wa kuoa, kuna miji ya kuoa na kuzaa nao bhasi.

Usioe sura oa mke wa kukusaidia majukumu, plus kutafuta pesa, apo utakuwa tajiri ndani ya mwaka.
 
Nitazingatia ushauri wako mkuu!
 
Mkuu me Nina miaka 25 lakini bado sijawaza hata kuoa!, Tusubiri Hadi tufikishe miaka 40 ndo tuoe mkuuu au unaonaje😂.
walau akifika 38 ndo aanze kuwaza waza kidogo😆😆
wenzio rika ilo wapo advnce
 
mtoa mada nijibu hapa bila wazazi kukumbusha wewe ulikua na mpango/ratiba gani kuhusu kuoa?

uo mpango ndo uufate kama utaki kupotea!
 
Back
Top Bottom