Natafuta mke, nina miaka 26

Jiimalishe kwanza katika uchumi wakati, ndo uje tena
 
Kigezo nachoangalia kwa umakini ni mke awe anaweledi wa kufanya biashara na kuweza kuwa na maono ya maendeleo.
 
Duuuuuh sijawahi kuelewa why kuna kupangiana maisha kwa namna km hii, hasa huku kwetu. Mmmmmmh but anyway nakutakia kila la kheri ktk kutimiza azma hiyo.
 
Kama wazazi wako wasipo mpenda ulie mchangua wewe itakuwaje mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…