Natafuta mke, nina miaka 26

Natafuta mke, nina miaka 26

Ni kijana mwenye miaka 26.Elimu nilifika fika chuo lakini sikufanyikiwa kumaliza.Lakini haikunizuia kuweza kutimiza malengo yangu kwani nilipambana na kujiajiri mwenyewe.

Sasa wazazi baada ya kuona kipato changu kinaridhisha wamenishauri nitafute mke nioe.nataka mtu aliyetulia asiyependa makuu mwenye spirit ya kumpabana kama mimi.

Ahsanteni
Jiimalishe kwanza katika uchumi wakati, ndo uje tena
 
Kigezo nachoangalia kwa umakini ni mke awe anaweledi wa kufanya biashara na kuweza kuwa na maono ya maendeleo.
 
Duuuuuh sijawahi kuelewa why kuna kupangiana maisha kwa namna km hii, hasa huku kwetu. Mmmmmmh but anyway nakutakia kila la kheri ktk kutimiza azma hiyo.
 
Kama wazazi wako wasipo mpenda ulie mchangua wewe itakuwaje mkuu
 
Back
Top Bottom