Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu niunganishe na wewei can connect you kwa mtu nnae mjua yuko 45 lakin wew unamiaka mingapi?
Najitokeza tena hapa!!!,natafuta mke,naitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuanza maisha ya ndoa,naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na nia na dhamira ya dhati juu ya suala hili.KARIBU SANA.
hebu niunganishe na wewe
Wewe mwenyewe una umri gani?
40 years? Huu si umri wa aged people?
Ujauzito utaubebaje sasa hapa?
Ndoa sio lazima kuzaa. Tena watu walioenda age huwa wapo interested kupata true companion tu,watu wanakuwa huru kuenjoy mapenzi yao bila hekaheka za malezi....
Sie wengine 21 ngoja nipotee,
Babuu we kwani we hutaki kufanana na kapuyaa!!