Natafuta mke!umri kuanzia miaka 40 na kuendelea!!

Natafuta mke!umri kuanzia miaka 40 na kuendelea!!

Fasta

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
23
Reaction score
4
Najitokeza tena hapa!!!,natafuta mke,naitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuanza maisha ya ndoa,naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na nia na dhamira ya dhati juu ya suala hili.KARIBU SANA.
 
Wewe una umri gani? Mwanamke wa miaka 40 plus ni huenda ni mjane, hakupata wa kumuoa kwa sababu mbalimbali na kama ameajiriwa i.e msomi au mfanyabiashara atakuwa na mali na hela??!!!! Wewe una nini cha kujivunia? Atakuwa na watoto by assumption!!!!! Uko tayari kwa yote hayo??!! Weka tangazo lako lieleweke ili mtu ajue kabisa kama ni serengeti boy au marioo anataka vya mteremko.
 
i can connect you kwa mtu nnae mjua yuko 45 lakin wew unamiaka mingapi?
 
Najitokeza tena hapa!!!,natafuta mke,naitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuanza maisha ya ndoa,naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na nia na dhamira ya dhati juu ya suala hili.KARIBU SANA.

mkuu ungemuona yule mama mchungaji na ukawa member pale
 
aaaa, huyu atakuwa kwenye miaka 50+ maana anaogopa hata kutaja miaka yake, basi kwa kushindwa kutaja miaka utawakosa wengi hata mi nilikuwa na mtu nnaemjua ana miaka 42
 
Mbona umeingia mitini,seems you were not serious, unatest zali ee?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
labda ndo anahisi akimpata mwenye hiyo miaka wataendana
 
Sie wengine 21 ngoja nipotee,
Babuu we kwani we hutaki kufanana na kapuyaa!!
 
40 years? Huu si umri wa aged people?

Ujauzito utaubebaje sasa hapa?
 
40 years? Huu si umri wa aged people?

Ujauzito utaubebaje sasa hapa?

Ndoa sio lazima kuzaa. Tena watu walioenda age huwa wapo interested kupata true companion tu,watu wanakuwa huru kuenjoy mapenzi yao bila hekaheka za malezi....
 
Toooba unatafuta kutunzwa weye ng oja waje
 
Ndoa sio lazima kuzaa. Tena watu walioenda age huwa wapo interested kupata true companion tu,watu wanakuwa huru kuenjoy mapenzi yao bila hekaheka za malezi....

sasa hapo itakuwa ni ngono mwanzo mwisho, si ndiyo?

au ni mapenzi gani unayoyazungumzia?
 
Back
Top Bottom