Natafuta mke umri miaka 25 hadi 32

Natafuta mke umri miaka 25 hadi 32

Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja.

Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa.

Mengine njoo PM.
Ni heri ukae na mama wa mtoto kuliko kutafuta mwingine,
 
Ukitaka kuja kuishi maisha ya raha na huyo mtoto wako na wewe tafuta aliyezaa hapo nhoma droo inabidi awapende wrote akimtesa wa kwako na wewe mtese wa kwake
Hahahahahaha duh na kweli ngoma droo
 
Wanaume watu wa ajabu sana
Usitake unayoyapenda wewe kila mtu ayaseme. Kila mtu Ana maoni yake. Huyo unayedhani nimemuacha mimi hujui Tu. Mengine hatuandiki yote hapa sio mahala pale kama unataka njoo pm
 
Usitake unayoyapenda wewe kila mtu ayaseme. Kila mtu Ana maoni yake. Huyo unayedhani nimemuacha mimi hujui Tu. Mengine hatuandiki yote hapa sio mahala pale kama unataka njoo pm
Hapana mkuu hata mimi ni maoni yangu tu kwamba unaweza kuwa mwaminifu lakini mengine yakawa sifuri teh naona umekasirika unataka ukanichambie pm[emoji23] [emoji23] samahani mkuu naomba yaishe
 
Hapana mkuu hata mimi ni maoni yangu tu kwamba unaweza kuwa mwaminifu lakini mengine yakawa sifuri teh naona umekasirika unataka ukanichambie pm[emoji23] [emoji23] samahani mkuu naomba yaishe
Hapana siko hivyo kabisaa
 
Back
Top Bottom