Ni heri ukae na mama wa mtoto kuliko kutafuta mwingine,Mimi ni mwanaume umri wangumiaka 35, nina mtoto mmoja.
Natafuta mwanamke awe na sifa zifuatazo; awe mkristu hasa RC, ambaye hajazaa atafikiriwa zaidi, awe muajiriwa.
Mengine njoo PM.
Yaani wewe umemzalisha mtu afu unataka kumpata ambaye hajazaa? Kwanini usimchukuwe mama mtoto?
Alishaolewa Ana maisha yakeNa uliyemzalisha ataolewa na nani ?
Hahahahahaha duh na kweli ngoma drooUkitaka kuja kuishi maisha ya raha na huyo mtoto wako na wewe tafuta aliyezaa hapo nhoma droo inabidi awapende wrote akimtesa wa kwako na wewe mtese wa kwake
Usitake unayoyapenda wewe kila mtu ayaseme. Kila mtu Ana maoni yake. Huyo unayedhani nimemuacha mimi hujui Tu. Mengine hatuandiki yote hapa sio mahala pale kama unataka njoo pmWanaume watu wa ajabu sana
Hapana mkuu hata mimi ni maoni yangu tu kwamba unaweza kuwa mwaminifu lakini mengine yakawa sifuri teh naona umekasirika unataka ukanichambie pm[emoji23] [emoji23] samahani mkuu naomba yaisheUsitake unayoyapenda wewe kila mtu ayaseme. Kila mtu Ana maoni yake. Huyo unayedhani nimemuacha mimi hujui Tu. Mengine hatuandiki yote hapa sio mahala pale kama unataka njoo pm
Hapana siko hivyo kabisaaHapana mkuu hata mimi ni maoni yangu tu kwamba unaweza kuwa mwaminifu lakini mengine yakawa sifuri teh naona umekasirika unataka ukanichambie pm[emoji23] [emoji23] samahani mkuu naomba yaishe