Natafuta mke wa kuanza naye maisha

Natafuta mke wa kuanza naye maisha

Joined
May 28, 2017
Posts
20
Reaction score
22
Mimi ni kijana wa kiume umri yapata miaka 30 sasa. Mimi si mtumiaji sana wa Jamii forum ila nilijiunga kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali. Lakini mwaka huu nimebahatika kupata ajira serikalini (Ajira mpya) Hivyo ninaanza rasmi maisha ndani ya jiji la DSM. Ingawa nimezungukwa na wanawake wengi lakini Bado kuna changamoto moja ya kumpata mtu aliye serious na maisha.

Kutokana na mwonekano wangu napendwa sana na mabinti wadogo na hasa wa rika la chuo. Nao sio kosa lao bali ni vile mimi ninavyowavutia wao. Hivyo basi nakuja kwenye jukwaa hili kutafuta mwanamke aliye serious na maisha tuanze pamoja kwa maana naamini kinaweza kikawa kigezo kimoja wapo cha sisi kudumu na kupendana.

Wanasema ndoa si jambo la kitoto. Ila mimi nimesoma nimebahatika kupata kazi. Sasa nasubiri nini? Utaniambie nile ujana. Sa si nile na mke wangu huo ujana tukiwa na baraka za wazazi.

Sifa zangu:
Mwembamba maji ya kunde
Mwili wa wastani (sio giant) dizaini ya mwanamuziki kama barnaba au dogo janja wa sasa (sio yule wa zamani)
Dini yangu mkristo.

Changamoto:
Ndio kwanza naanza maisha
Sina gari, sina nyumba
Nimepanga chumba kimoja na sebule.
Salary ya wastani na (nimeanza kukatwa bodi ya mkopo)

Sifa za mwanamke:
1. Awe serious na mkweli
2. Awe tayari kupima (ikiwezekana pima kabisa we mwenyewe ili tukienda wawili usiwe na wasi)
3. Awe na kwao.
4. Aendane na mwili wangu asinizidi yaani asiwe bonge akaja kunidunda bure nikichelewa kurudi kwenye game za uefa (joke)
5. Muajiriwa au shughuli yoyote inayomuingizia kipato halali. (Muajiriwa atapewa kipaumbele)
6. Umri wowote wa kuolewa na asizidi miaka 30
7. Mwenye mtoto mdogo ruksa, lakini asiwe mkubwa wastani wa mwaka mmoja hivi kushuka chini itapendeza zaidi (kwani atakuwa amenipa wakati mzuri wa kujiandaa hadi atakapoanza shule) lakini awe mkweli kueleza baba wa mtoto yuko wapi na kwanini hayupo nae. Asidanganye.
8. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Mambo ya Distance love siyataki.
9. Dini yoyote (tutajua wenyewe namna ya kuyajenga)

Kwa aliye serious na maisha na mwenye ndoto ya kuishi na mume unakaribishwa DM tuyajenge.

Pia nitaleta mrejesho hapa kwa wenzangu wenye nia ya kweli kama mimi.
 
Mjamzito humtaki mkuu mi mjazito ,Sina kazi Ila naweza kufanya biashara yyt ukiniwezesha mweusi,mkweli Niko transparent sana hiyo pia sababu wanaume wananiogopa/hofia
Swala ni lile lile, utaeleza kwa kina alipo mwenye mimba. Kwani naamini wanaume hatutelekezi mimba ila tunakimbia majukumu na mambo yakijiseti lazima wajirudi kusaka damu yao ya halali
 
Hajakataa mimba anailea vizur tu na hatuna ugomvi mie nimeamua kujitoa kwenye mahusiano kwakua 1;haniamin
2;mbinafsi hataki mie nifanye biashara yyt wakati nnafamilia yangu inanitegemea nahisi ananirudisha nyuma anataka nidepend on him kitu ambacho naona shida
njoo PM tuyajenge
 
Mjamzito humtaki mkuu mi mjazito ,Sina kazi Ila naweza kufanya biashara yyt ukiniwezesha mweusi,mkweli Niko transparent sana hiyo pia sababu wanaume wananiogopa/hofia
Bahati haiji mara mbili nitamshangaa sana asipo changamkia fursa
 
nakushauri zichange change kwanza dogo.....bado hujajua unachokitafuta.......kila la kheri....
Sijaelewa sijajua ninachokitafuta kiaje. Natafuta mke lakini nimeeleza wazi naanza maisha hivyo nataka wa kuanza nae. Nikisema nizichange mwanamke wakuja kunikuta na kila kitu si ndo atakuwa hajanipenda mimi sasa watakuja kunipenda warembo kwa vile wamenikuta na kila kitu.
 
Hajakataa mimba anailea vizur tu na hatuna ugomvi mie nimeamua kujitoa kwenye mahusiano kwakua 1;haniamin
2;mbinafsi hataki mie nifanye biashara yyt wakati nnafamilia yangu inanitegemea nahisi ananirudisha nyuma anataka nidepend on him kitu ambacho naona shida
Sawa nimekuweka kwenye list
 
Usije ukamtumia mtoto wa watu ukakimbia mzee...

Kama kuna uwezekano tafuta mwanamke asiye na mtoto. Inahitajika busara kubwa saana kuishi na mwenza ambaye tayari ana mtoto na mwanaume/ke mwingine.
 
Mwili wa dogo janja au barnaba...

Wakija hapaa wenyewe watasema hiyo ni miili ya watu wenye gubu
Barnaba huyu hapa
images (2).jpeg
Dogo janja mhh labda sijamuona kwa huu mwaka wote😆
 
Sijaelewa sijajua ninachokitafuta kiaje. Natafuta mke lakini nimeeleza wazi naanza maisha hivyo nataka wa kuanza nae. Nikisema nizichange mwanamke wakuja kunikuta na kila kitu si ndo atakuwa hajanipenda mimi sasa watakuja kunipenda warembo kwa vile wamenikuta na kila kitu.
mapenzi hutengenezwa,,, fundi ni mwanaume..... hakuna mwanamke wa kuaanzia maisha dogo......maisha unayaanza mwanaume....mwanamke anakuja kuwa msaidizi tuuu........we jidanganye eti wa kuanzaia maisha.....eva aliumbwa kuwa msaidizi wa adamu......MSAIDIZI..........we jipigie PUNYETO......mbunye zipo kibao......tafuta pesa,,,,utampata automatic......
 
Back
Top Bottom