Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahaaa eeh ngoja aje, uwii tutaambia nini watu sie jamani?......ngoja tuone kama alitania au anamaanisha..[emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa eeh ngoja aje, uwii tutaambia nini watu sie jamani?......ngoja tuone kama alitania au anamaanisha..[emoji38][emoji38]
Sawa mkuuKipimo gani kitumike kujua mwanamke Huyu ana vision au hana na kwamba akiwezeshwa ataweza ?
Siyo rahisi sana kuamua uoe au uolewe na mtu asiye na kazi huku ukitarajia atapata ajira au kuanzisha biashara ikaendelea kwa uhakika!
Wengi wamebaki kuwa Mama wa nyumbani au baba wa nyumbani!
Akishaingia ndani ameingia, wengi wao kila akitafutiwa kazi anaitia ila kusema hivi na vile au kama ni biashara ataitoa Sababu kibao!
Ndiyo maana wengi hupendelea wamkute mwanamke ambaye tayari ameajiriwa au kujiajiri kwa uhakika na siyo mashaka!
My wangu kwa hiyo uko unajishughulisha na ulipanga kumsomesha kabisa mwenyewe au baba yake ndio saporter?My wangu sifa zote ninazo shda ni uyo mwanangu jamani mwakani tu Apo anaanza darasa la kwanza ana miaka 5[emoji17]
Aya Basi kila la kheri upate chaguo la moyo wako
My wangu kiukweli namshukuru Sana Mungu baba ake ana play kila k2 kwa mwanae mimi hela yangu na support vtu vidogo Sana maybe nguo Nk: yule kaka Mungu amtunze kwakweli [emoji3526] by then nko najshuglsha na shgul za ujasiriamli na npo nafanya kaz kwa mtu pia.My wangu kwa hiyo uko unajishughulisha na ulipanga kumsomesha kabisa mwenyewe au baba yake ndio saporter?
ahahahaha dah, vigezo vingi ivyo. Haya wenye vigezo wakaribie. Kila la kheri mkuu.Mimi ni kijana wa kiume umri yapata miaka 30 sasa. Mimi si mtumiaji sana wa Jamii forum ila nilijiunga kwa ajili ya kupata taarifa mbalimbali. Lakini mwaka huu nimebahatika kupata ajira serikalini (Ajira mpya) Hivyo ninaanza rasmi maisha ndani ya jiji la DSM. Ingawa nimezungukwa na wanawake wengi lakini Bado kuna changamoto moja ya kumpata mtu aliye serious na maisha.
Kutokana na mwonekano wangu napendwa sana na mabinti wadogo na hasa wa rika la chuo. Nao sio kosa lao bali ni vile mimi ninavyowavutia wao. Hivyo basi nakuja kwenye jukwaa hili kutafuta mwanamke aliye serious na maisha tuanze pamoja kwa maana naamini kinaweza kikawa kigezo kimoja wapo cha sisi kudumu na kupendana.
Wanasema ndoa si jambo la kitoto. Ila mimi nimesoma nimebahatika kupata kazi. Sasa nasubiri nini? Utaniambie nile ujana. Sa si nile na mke wangu huo ujana tukiwa na baraka za wazazi.
Sifa zangu:
Mwembamba maji ya kunde
Mwili wa wastani (sio giant) dizaini ya mwanamuziki kama barnaba au dogo janja wa sasa (sio yule wa zamani)
Dini yangu mkristo.
Changamoto:
Ndio kwanza naanza maisha
Sina gari, sina nyumba
Nimepanga chumba kimoja na sebule.
Salary ya wastani na (nimeanza kukatwa bodi ya mkopo)
Sifa za mwanamke:
1. Awe serious na mkweli
2. Awe tayari kupima (ikiwezekana pima kabisa we mwenyewe ili tukienda wawili usiwe na wasi)
3. Awe na kwao.
4. Aendane na mwili wangu asinizidi yaani asiwe bonge akaja kunidunda bure nikichelewa kurudi kwenye game za uefa (joke)
5. Muajiriwa au shughuli yoyote inayomuingizia kipato halali. (Muajiriwa atapewa kipaumbele)
6. Umri wowote wa kuolewa na asizidi miaka 30
7. Mwenye mtoto mdogo ruksa, lakini asiwe mkubwa wastani wa mwaka mmoja hivi kushuka chini itapendeza zaidi (kwani atakuwa amenipa wakati mzuri wa kujiandaa hadi atakapoanza shule) lakini awe mkweli kueleza baba wa mtoto yuko wapi na kwanini hayupo nae. Asidanganye.
8. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Mambo ya Distance love siyataki.
9. Dini yoyote (tutajua wenyewe namna ya kuyajenga)
Kwa aliye serious na maisha na mwenye ndoto ya kuishi na mume unakaribishwa DM tuyajenge.
Pia nitaleta mrejesho hapa kwa wenzangu wenye nia ya kweli kama mimi.
Daah my wangu unanivutia sana. Ila lazima kuna kupasha viporo na baba mtoto.My wangu kiukweli namshukuru Sana Mungu baba ake ana play kila k2 kwa mwanae mimi hela yangu na support vtu vidogo Sana maybe nguo Nk: yule kaka Mungu amtunze kwakweli [emoji3526] by then nko najshuglsha na shgul za ujasiriamli na npo nafanya kaz kwa mtu pia.
Ahsante mkuu lakini vigezo sio vigumu. Sema wengi wanadai kwenye kujishughulisha hapo ndo nilipoharibu maana yake wengi wapo tu nyumbani. Sasa tusipotafuta wote maana yake tuwazimie simu wazazi na ndugu.ahahahaha dah, vigezo vingi ivyo. Haya wenye vigezo wakaribie. Kila la kheri mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuvutia Sana my wangu[emoji23][emoji23]Daah my wangu unanivutia sana. Ila lazima kuna kupasha viporo na baba mtoto.