Natafuta mke wa kuanza naye maisha

My wangu sifa zote ninazo shda ni uyo mwanangu jamani mwakani tu Apo anaanza darasa la kwanza ana miaka 5[emoji17]
Aya Basi kila la kheri upate chaguo la moyo wako
 
Sawa mkuu
 
My wangu sifa zote ninazo shda ni uyo mwanangu jamani mwakani tu Apo anaanza darasa la kwanza ana miaka 5[emoji17]
Aya Basi kila la kheri upate chaguo la moyo wako
My wangu kwa hiyo uko unajishughulisha na ulipanga kumsomesha kabisa mwenyewe au baba yake ndio saporter?
 
My wangu kwa hiyo uko unajishughulisha na ulipanga kumsomesha kabisa mwenyewe au baba yake ndio saporter?
My wangu kiukweli namshukuru Sana Mungu baba ake ana play kila k2 kwa mwanae mimi hela yangu na support vtu vidogo Sana maybe nguo Nk: yule kaka Mungu amtunze kwakweli [emoji3526] by then nko najshuglsha na shgul za ujasiriamli na npo nafanya kaz kwa mtu pia.
 
ahahahaha dah, vigezo vingi ivyo. Haya wenye vigezo wakaribie. Kila la kheri mkuu.
 
Daah my wangu unanivutia sana. Ila lazima kuna kupasha viporo na baba mtoto.
 
ahahahaha dah, vigezo vingi ivyo. Haya wenye vigezo wakaribie. Kila la kheri mkuu.
Ahsante mkuu lakini vigezo sio vigumu. Sema wengi wanadai kwenye kujishughulisha hapo ndo nilipoharibu maana yake wengi wapo tu nyumbani. Sasa tusipotafuta wote maana yake tuwazimie simu wazazi na ndugu.
 
Daah my wangu unanivutia sana. Ila lazima kuna kupasha viporo na baba mtoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuvutia Sana my wangu[emoji23][emoji23]

By then kwa mtu mwenye akili na msimamo anajua Nini maana ya kuachana hvi kwa mfano wale wanaozaa watoto wa3 baba tofauti nao kila baba wa mtoto akija wapashe[emoji849]sa atakua mtu kweli[emoji23][emoji23] tumeachan saiz mwaka wa 5 uhu
 
Wewe una sifa mbili unaemtaka unataja sifa 10 hauko makini na unachokitaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…