Natafuta mke wa kuishi naye

Natafuta mke wa kuishi naye

jamesmalwa

Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Nahitaji mke wa kuishi naye, awe ana kazi yake nzuri, awe na cheo kikubwa kazini kwake kuanzia Manager, Director wa kampuni au shirika yaani NGO au Civil Society, umri kuanzia miaka 30-40 na awe anamiliki biashara kubwa, akinizidi umri kama miaka 2 sio mbaya ni kati ya umri taja hapo. Nitashukuru endapo atatokea, elimu yangu ni ya juu zaidi ya post graduate. tuwasiliane kwenye email: jamesmalwa@yahoo.com
 
Mmmh... Cheo changu cha chini kimenikosesha mume mwenye elimu ya juu zaidi ya post graduate jamani..! Lol
 
Nahitaji mke wa kuishi naye, awe ana kazi yake nzuri, awe na cheo kikubwa kazini kwake kuanzia Manager, Director wa kampuni au shirika yaani NGO au Civil Society, umri kuanzia miaka 30-40 na awe anamiliki biashara kubwa, akinizidi umri kama miaka 2 sio mbaya ni kati ya umri taja hapo. Nitashukuru endapo atatokea, elimu yangu ni ya juu zaidi ya post graduate. tuwasiliane kwenye email: jamesmalwa@yahoo.com

Kwani wewe una cheo gani maana nami pia huwa napenda mwenye cheo cha Manager/director. Postgraduate sio issue kwa sasa, labda ungeongelea zaidi financially uko vipi.
 
Mimi ni Director of Programs kwenye NGO inayofahamika ulimwenguni, Kwa sasa ni PHD fellow nina miaka miwili nina soma PHD yangu. nina mashamba na nina nyumba tatu nimejenga za kukidhi mahitaji ya familia mjini Arusha zote nimepangisha ya nne ndio naishi mwenyewe na mama yangu, nataka kujenga kitegea uchumi cha hotel ya ghorofa mbili tu.
 
Hapana dada bado unaweza kujieleza ulivyo utasikika tu hamna neno.
 
Duuh.... Tatizo umekuja kwa gia kali sana kaka yangu..! Ndoa njema haijengwi na mavyeo wala majumba..! Muombe Mungu atakupatia mke aliye mwema..! Unaweza ukapata mdada mwenye kipato cha kawaida sana lakini ukawa na ndoa yenye amani na furaha..! Nakutakia kila la heri Jimmy..!
 
Nahitaji mke wa kuishi naye, awe ana kazi yake nzuri, awe na cheo kikubwa kazini kwake kuanzia Manager, Director wa kampuni au shirika yaani NGO au Civil Society, umri kuanzia miaka 30-40 na awe anamiliki biashara kubwa, akinizidi umri kama miaka 2 sio mbaya ni kati ya umri taja hapo. Nitashukuru endapo atatokea, elimu yangu ni ya juu zaidi ya post graduate. tuwasiliane kwenye email: jamesmalwa@yahoo.com
Hivi kuna watu wanakuwa serious kweli, mke kweli anapatikana hivi jamani du hata girlfriend hapatikani kwa njia hii labda malaya tu wanaojiuza kwenye mitandao.Wewe hutafuti mke unatafuta shida na subiri utaipata
 
Tuache habari ya kuja jwa gia kubwa, hiyo ndo hali halisi sitaki kuwa muongo, wala kusema kile ambacho sitakubaliana nacho. naomba nikufahamu dada yangu usiwe na shaka uwe muwazi tu kwangu niko tayari kukusikiliza, habari ya dnoa njema haijengwi kwa vyeo nimekubaliana na wewe mia kwa mia naomba nikufahamu, samahani kama utanielewa vibaya.
 
Nduguyo akiwa serious halafu akasikia kuna mtu anatafuta mchumba au mke wa kuoa halafu akakuunganishia ina maana wewe unakuwa ni malaya? maana umeunganishiwa na hatimaye ukaomba jamaa akuone mwenyewe mzungume swali langu ni je wewe ni malaya kwakuwa uliambiwa fulani ahitaji mke wa kuoa na badaye mkakutana na mkakubaliana? bado nauliza je wewe utakuwa ni malaya?
 
Tuache habari ya kuja jwa gia kubwa, hiyo ndo hali halisi sitaki kuwa muongo, wala kusema kile ambacho sitakubaliana nacho. naomba nikufahamu dada yangu usiwe na shaka uwe muwazi tu kwangu niko tayari kukusikiliza, habari ya dnoa njema haijengwi kwa vyeo nimekubaliana na wewe mia kwa mia naomba nikufahamu, samahani kama utanielewa vibaya.

Elimu yangu ni ya kidato cha nne, na nimeajiriwa kwenye steshenari flani iko Gongo la Mboto Dar.!
 
jamani ama mnatunyanyapaa kwani elimu ya chini maisha hayaendi kikubwa akupende akuheshimu na mckilizane hiyo ndio ndoa.lkn hayo ma cfa unayoyotaka ucjepata tabu.OK MI MUAJIRIWA NTAKUFAA?
 
Hivi kuna watu wanakuwa serious kweli, mke kweli anapatikana hivi jamani du hata girlfriend hapatikani kwa njia hii labda malaya tu wanaojiuza kwenye mitandao.Wewe hutafuti mke unatafuta shida na subiri utaipata

YAHAYA HAMUWAJUI JAMANIIIIIIII?NDO HUYOOOOO KAJA PHD YA UYAHAYA NDO ANAyo
 
Mmmmh!!! Hivyo vigezo balaa sasa siye kina kajamba nani tusiokuwa na vyeo tutapata wachumba kweli?
 
Duuuuuh! Kazi ipo kama ndo na mavyeo yote hayo nenda kwenye vyombo vya habari maana wengine hata bado hatuna kazi
 
Back
Top Bottom