Natafuta mke wa kuoa 2018

Natafuta mke wa kuoa 2018

Maishani2018

Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
8
Reaction score
6
Habari wana JF,

Nimemaliza chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe kufanya kazi binafsi ya kusafisha mazingira hususani kuzoa taka pamoja na kuzibua vyoo ajira hii inanisaidia kupata ridhiki kwa maana ajira hakuna.

Kuandika wasifu huu mfupi namna ninavoendesha maisha nilkua sina jinsi kujishughulisha kufanya kazi hii.

Natafuta rafiki hususani wakike ambaye baadaye ajekua mke wangu ili tushirikiane namna ya kuendesha kazi hii pindi tunaposubiri ajiriwa.

Sifa zangu;
Jina deric Malabah
Umri wangu ni miaka 34
Dini mkristu
Kabila mbende
Mahali ninapoishi kibaha
Elimu shahada ya kwanza
Urefu 5.6ft
Sina mtoto
Sijawahi oa
Pombe situmii
Sigara situmii
Napendelea kusikiliza nyimbo za dini na mpira
Madhumuni ni kuoa sio kumpotezeana muda
Muonekano wangu ni mweusi kwa rangi
Mwembamba kiasi
Mcheshi
Simwepesi wa kukwazika

Rafiki/mchumba/mke nimtakaye;

Awe mweupe asiwe wa amejichubua.
Umri wake 24-28
Elimu kuanzia shahada nakuendelea.
Dini mkristu akiwa dini nyingine kama atabadili sawa.
Asiwe mnene sana kupitiliza
Urefu 5ft asinizidi mimi.
Asiwe na mtoto
Asitumie pombe
Asitumie sigara
Awe na mapenzi ya dhati sio kuigiza.
Awe ameajiriwa/kujiajiri
Awe na upeo wa maendeleo baadae.
Awe anajiamini yeye mwenyewe
Awe ni mke mwenye niaa kutoka moyoni mwake
Asiwe ni mwepesi kusikiliza watu nje ya ndoa
Kabila lolote ili mradi ajitambue anachokifanya
Awe nabidii kufanyakazi za ziada nategemea kufungua kampuni kutokana na kazi ninayo fanya kwa maana imenifungulia milango mingi ya kujulikana
Awe tiari kuishi na familia pande zote mbili

Karibu sana kama utawiwa na unamalengo ya kufika mbali kimaisha tukishirikiana kwa pamoja.

Kama unaitaji ni pm au nicheki kwa 0623058413 kwa mawasiliano zaidi kama unahofu moyoni mwako usinitafute naitaji mwenye lengo kama langu kwa maana tusipende kujaribu mambo ambayo hatupendelei.

Asanteni sana kwa kunisikiliza pia naomba msamaha kwa makosa ya kiuandishi kwanamna yeyote ilie huu ni ufafanuzi kwa wasio elewa.




 
Sijakisoma?
Unatafuta miss mbande au mke?
Maana katika yote uliyoyasema sio sifa za wife material.
Bro jipange usifananishe mke na mambo ya kipumbavu.
 
Sijakisoma?
Unatafuta miss mbande au mke?
Maana katika yote uliyoyasema sio sifa za wife material.
Bro jipange usifananishe mke na mambo ya kipumbavu.
Soma vizuri uielewe najua huwezi elewe ukiangalia kwa negative altitude bali ni hazina kubwa hayo maelezo.Tafakari mara mbilimbili ndio utapata maana nzuri . Nimetumia lugha ngumu kwa asie nania hawezi kuelewa
 
Kila la kheri rafiki.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Back
Top Bottom